Huyu si mtu ni mapupu

Shida ni pale unapomchukia mtu ambae hadi kufa kwako huwezi kuyafikia maisha yake
 
Natamani kuandika jambo hapa brazaa! Ila niwaambie tu ndugu zangu

Uchawi upo!

Uchawi upo na unafanya kazi, usiyeamini sikulazimishi
 
Shida ni pale unapomchukia mtu ambae hadi kufa kwako huwezi kuyafikia maisha yake
Chuki zimezidi kwa huyu jamaa hadi sometimes nakaa namuombea bila shaka ni mafanikio aliyofikia na umri wake wakijiangalia wanazeeka hata ujumbe wa mtaa hawana inawauma.
 
Tupilia mbali dhana yako kwenye post hizo picha zako zimenikumbusha enzi nimeanza maisha uswahilin tandika.Huko ndiko nilikutana na supu za mapupu na koromeo na makongoro.Yan umenikumbusha mbali sanaa mkuu.Kwasasa situmii hayo mavitu [emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23]umepanda daraja... Sijawahi kuona kiporo cha no 11 au cheni bloku
 
Aisee...[emoji851][emoji851][emoji851]
ila mapupu mbona hayana ladha yoyote ? Ni kama unatafuna Mpira..??
Anyway we bro Jr, ni pambaaaaf...[emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]
[emoji23][emoji23][emoji23]yoyote ni ladha pia . .. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hasa mkuu tufanyeje kuondoa hayo mapupu pale ilala?
Ni ngumu kusitisha uchinjaji watu watakosa nyama... Lakini kuna wakati mapupu hutupwa[emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji144]
 
Kaka Mshana shikamoo
 
Shida ni pale unapomchukia mtu ambae hadi kufa kwako huwezi kuyafikia maisha yake
Chuki zimezidi kwa huyu jamaa hadi sometimes nakaa namuombea bila shaka ni mafanikio aliyofikia na umri wake wakijiangalia wanazeeka hata ujumbe wa mtaa hawana inawauma.
Wapumbavu wawili wanapokutana hutengeneza ujuha wa kujifariji kwakuwa fikra zao ni kimo cha mbilikimo na uono wao ni mwisho wa pua zao zilizofutika uvundo... Kuna kujiita GT na kuwa GT.... Ni dhana mbili tofauti kabisa
 
Hivi bro, kujitoa ufahamu ni kutumia akili pia ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…