Huyu si mtu ni mapupu

Yaani huo upendo ni wa dunia ingine iweje hayo mapupu yapendwe kiasi hicho?
Uchawi upo... Ushirikina upo... Nguvu za giza zipo.... [emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]
 
Hilo pupu inaonekana ni tamu mkuu hata mimi nahitaji kulila hilo pupu na utumbo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji39][emoji39][emoji39][emoji85][emoji85][emoji40][emoji40][emoji848]
 
Tupilia mbali dhana yako kwenye post hizo picha zako zimenikumbusha enzi nimeanza maisha uswahilin tandika.Huko ndiko nilikutana na supu za mapupu na koromeo na makongoro.Yan umenikumbusha mbali sanaa mkuu.Kwasasa situmii hayo mavitu πŸ˜…
 
Mlezi katibu B anaendelea kumnoa kijana
 
Aisee...[emoji851][emoji851][emoji851]
ila mapupu mbona hayana ladha yoyote ? Ni kama unatafuna Mpira..??
Anyway we bro Jr, ni pambaaaaf...[emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]
 
Tupilia mbali dhana yako kwenye post hizo picha zako zimenikumbusha enzi nimeanza maisha uswahilin tandika.Huko ndiko nilikutana na supu za mapupu na koromeo na makongoro.Yan umenikumbusha mbali sanaa mkuu.Kwasasa situmii hayo mavitu πŸ˜…
Na mimi... tupilia mbali dhana yake..... Yakitayarishwa vizuri hasa kama nyumbani mmechnja mnyama kama mbuzi ni mazuri sana... hasa kwa mtu mwenye hangover. Supu yake nzuri!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…