Huyu si mtu ni mapupu

Huyu si mtu ni mapupu

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,471
Reaction score
829,862
Uchawi upo... Ushirikina upo... Nguvu za giza zipo... Unaweza ukaamini au usiamini lakini huo ndio uhalisia
Huwezi ukaenda bucha la nyama na kuyakuta mapupu yametundikwa kama nyama nyingine... Sana sana utaona vile vya ndani kama utumbo, maini, bandama nk
Si kwamba mapupu hayapo... La hasha... Si kwamba yana thamani kuliko nyama.. La hasha... Yanapendwa tu na class yake... Nyama iliyonona, nzuri na inayovutia kabisa inaweza kulala lakini sio mapupu...

Mapupu huwezi kuyakuta kila mahali, sehemu zile class, ama middle life class.... Mapupu hayana bei na walaji wake hawana bei pia... Hakuna supu ya mapupu inayozidi buku 3 hata kama itiwe viungo vyote... Hakuna...!!!!
Kuna uchawi kwenye mapupu, kuna ushirikina.. Kuna nguvu za giza.... Huyu rc si mtu bali ni pupu.... Yaani Mapupu ile nyama isiyofika buchani... Ana kaliba yake.... Misukule inayompenda na kumwamini sana... Haisikii... Haiambiliki... Kuhusu hili pupu...!!!!
Kinachonitatiza na kunishangaza sana ni ile dhana dhanifu kuwa hata mzee baba... The man himself ni mlevi na mpendwa kabisa wa supu ya mapupu.... Hii habari inatisha kama hujui undani wake...
Kwa wasiojua ni kwamba.... Ni laini kama supu ya mapupu huyo mwana... Na kilicho laini hutamanisha kuliwa.....
downloadfile-3.jpeg
B+2.jpeg
 
Acha rohostok mkuu!!kwani wewe mbavu mbona upoupo tu kitaa...embu weka ushahidi pasi na shaka kuwa unajua usemalo na wala husumbuliwi na kijiba cha roho.
Binafsi sina tatizo naye kwani hata yeye hajanitatiza bado.
 
Uchawi upo... Ushirikina upo... Nguvu za giza zipo... Unaweza ukaamini au usiamini lakini huo ndio uhalisia
Huwezi ukaenda bucha la nyama na kuyakuta mapupu yametundikwa kama nyama nyingine... Sana sana utaona vile vya ndani kama utumbo, maini, bandama nk
Si kwamba mapupu hayapo... La hasha... Si kwamba yana thamani kuliko nyama.. La hasha... Yanapendwa tu na class yake... Nyama iliyonona, nzuri na inayovutia kabisa inaweza kulala lakini sio mapupu...

Mapupu huwezi kuyakuta kila mahali, sehemu zile class, ama middle life class.... Mapupu hayana bei na walaji wake hawana bei pia... Hakuna supu ya mapupu inayozidi buku 3 hata kama itiwe viungo vyote... Hakuna...!!!!
Kuna uchawi kwenye mapupu, kuna ushirikina.. Kuna nguvu za giza.... Huyu rc si mtu bali ni pupu.... Yaani Mapupu ile nyama isiyofika buchani... Ana kaliba yake.... Misukule inayompenda na kumwamini sana... Haisikii... Haiambiliki... Kuhusu hili pupu...!!!!
Kinachonitatiza na kunishangaza sana ni ile dhana dhanifu kuwa hata mzee baba... The man himself ni mlevi na mpendwa kabisa wa supu ya mapupu.... Hii habari inatisha kama hujui undani wake...
Kwa wasiojua ni kwamba.... Ni laini kama supu ya mapupu huyo mwana... Na kilicho laini hutamanisha kuliwa..... View attachment 1095291View attachment 1095292
Heshima kwako Mshana.
 
😝😝😝 P.M anapendwa kwa sababu kuu mbili

(1) Ni mbwatukaji mkubwa (bado hajajielewa vizuri)
(2) Anaweza kutumika kivyovyote (Naweza kumpa jina ni chaja ya pweza)
 
Yaani huo upendo ni wa dunia ingine iweje hayo mapupu yapendwe kiasi hicho?
 
Back
Top Bottom