Huyu sasa ndio kipa wa Dunia

Huyu sasa ndio kipa wa Dunia

maroon7

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
11,345
Reaction score
15,852
10494796_620163231415778_380355696348253827_n.jpg
 
Ingawa maisha ya hapo yanaonekana ni duni lakini madogo wana furaha!
 
kali kuliko zote,hahahaaaaaaaaaa!kufunga happo lazima uwe na makengeza
 
Unapga mpira direct kati ya mapaja chini ya ktovu,atabadl style ya kuziba goli
 
hii ni dalili ya roho mbaya kwa binadam.sasa wenzake watafungia wapi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom