Godfrey Nkoko
Member
- May 1, 2017
- 19
- 31
Rubani wa Ndege ya Saudia SV832 akiomba kuruhusiwa kurudi tena katika uwanja wa Ndege mjini Jeddah, Saudia baada ya Abiria wake mmoja ambae ni Mwanamke kumsahau Mtoto wake Airport baada ya Ndege yake kuruka kuelekea Kuala Lumpur Malaysia, Rubani huyo aliruhusiwa baadae na kuigeuza Ndege hiyo angani kurudi uwanjani.([emoji329] The Real Life in Saudi Arabia)
Real life in soud ArabiaRubani wa Ndege ya Saudia SV832 akiomba kuruhusiwa kurudi tena katika uwanja wa Ndege mjini Jeddah, Saudia baada ya Abiria wake mmoja ambae ni Mwanamke kumsahau Mtoto wake Airport baada ya Ndege yake kuruka kuelekea Kuala Lumpur Malaysia, Rubani huyo aliruhusiwa baadae na kuigeuza Ndege hiyo angani kurudi uwanjani.([emoji329] The Real Life in Saudi Arabia)
Yawezekana kwa kuwa familia za huko ni kubwa sana watoto ni parcel hivyo ukipanda kwenye ndege mtoto hupandishwa kwingine kama parcel. Lakini kama kweli huyo mtoto alizaliwa na huyu mama, nadhani alitamani amwache apotee angalao asimwone akiwa anaumia. Moyo ukamsuta akaamua kuomba msaada wa kumrudia mwanaye. Jiulize; Mama alikuwa so much excited kupanda ndege au kuondoka Saudia kiasi kwamba alisahau huyo mtoto au alikuwa kalewa? Kweli neno la Mungu ni kweli daima. Katika Isaya Mungu anauliza; Je mama aweza kumsahau mwanaye aliye mzaa?? Leo tumepata jibu kuwa ni; Ndiyo.Real life in soud Arabia
Where wanawake ni wazembe kiasi cha kuingia ndani ya ndege hadi inaruka na hakumbuki mtoto
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu mama lazima aliangalia picha ya Home Alone.Rubani wa Ndege ya Saudia SV832 akiomba kuruhusiwa kurudi tena katika uwanja wa Ndege mjini Jeddah, Saudia baada ya Abiria wake mmoja ambae ni Mwanamke kumsahau Mtoto wake Airport baada ya Ndege yake kuruka kuelekea Kuala Lumpur Malaysia, Rubani huyo aliruhusiwa baadae na kuigeuza Ndege hiyo angani kurudi uwanjani.([emoji329] The Real Life in Saudi Arabia)
HUmu mama lazima aliangalia picha ya Home Alone.
Ila ni kitendo cha kiungwana. KUmbuka ndege ikiondoka ili irudi na kutua inabidi wakamwage mafuta kwanza, kwa hiyo wanapata hasara kubwa sana. Lakini hizi nchi haziendeshi haya mashirika kwa ajili ya faida, ni ujiko tu.
Uongo nini sasa? Kwamba hawakurudi au?
Kurudi alirudi, lakini swala la kumwaga mafuta hapana. Hakuna sehemu kwenye taarifa hiyo ilisema alifanya hivyo. Na si kila ndege ikitaka tukua watafanya hivyo ikiwa ipo katika uzito wa kawaida kutua. Ground team ilifanya kazi yake wakaona inafaa kutua basi wakairuhusu kurudi.Uongo nini sasa? Kwamba hawakurudi au?
Wewe ni mbishi usiyetumia akili. Unakuja na upuuzi wako wa kusema huo ni uongo hawakumwaga mafuta huna hata akili ya kujua umbali wa Jeddah hadi Kuala Lumpur? Kwa hiyo ndege ambayo imejaza mafuta ya hiyo trip ya zaidi ya Km7000 ingerudi kutua bila kumwaga mafuta? Na nani alikuambia suala la kutua na full tanks za mafuta ni kwa ajili ya uzito peke yake? Unajua ndege iki-crash na full tanks za mafuta inakuwaje?Kurudi alirudi, lakini swala la kumwaga mafuta hapana. Hakuna sehemu kwenye taarifa hiyo ilisema alifanya hivyo. Na si kila ndege ikitaka tukua watafanya hivyo ikiwa ipo katika uzito wa kawaida kutua. Ground team ilifanya kazi yake wakaona inafaa kutua basi wakairuhusu kurudi.
Usikute alikzikumbuka NEPI za mtoto akamsahau mtoto mwenyewe.....Real life in soud Arabia
Where wanawake ni wazembe kiasi cha kuingia ndani ya ndege hadi inaruka na hakumbuki mtoto
Sent using Jamii Forums mobile app
Huenda mawazo yamemjaa kichwaniReal life in soud Arabia
Where wanawake ni wazembe kiasi cha kuingia ndani ya ndege hadi inaruka na hakumbuki mtoto
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo mwisho nimeishia kucheka tu hahahahahaHuyu mama lazima aliangalia picha ya Home Alone.
Ila ni kitendo cha kiungwana. KUmbuka ndege ikiondoka ili irudi na kutua inabidi wakamwage mafuta kwanza, kwa hiyo wanapata hasara kubwa sana. Lakini hizi nchi haziendeshi haya mashirika kwa ajili ya faida, ni ujiko tu.