life is Short
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 4,741
- 3,037
Umekurupuka tu, Utoto ulonawo huwezi kulinganisha kati ya mlipa kodi mwenye manufaa na Taifa na Kati ya waharibifu mali ya umma baina yao wewe ni mmoja wao hamupenfi taifa lisonge mbele.... Mupo tayari kusimamisha gurudumu la maendeleo ilimradi muanzishe umbea na vijiwe vya kukwamisha kazi.Unataka kusema bwana ridhiwani works hard?u must be out of yo mind kwakweli
Mtoto wa mama salma
"Sasa hivi kila kitu kizuri naambiwa changu,mda si mrefu kile mwanamke mzuri watasema ni wangu"-Riziwan Kikwete
Umekurupuka tu, Utoto ulonawo huwezi kulinganisha kati ya mlipa kodi mwenye manufaa na Taifa na Kati ya waharibifu mali ya umma baina yao wewe ni mmoja wao hamupenfi taifa lisonge mbele.... Mupo tayari kusimamisha gurudumu la maendeleo ilimradi muanzishe umbea na vijiwe vya kukwamisha kazi.
Source ya nchi hii yote imekuja from free of charge bases!!
So watu kumsema au kumdiscuss rizimoja how the guy is getting billions ni kusimamisha gurudumu la MA ndeleo?duuu Kali nayo
ridhiwani wapo wengi hata hapa jf yupo na mwingine ni mtoto jakaya. Mtaani kwangu pia yupo riz1 yeye anaziba pancha baiskeri. Huliza vizuri watakwambia tu ni riz yupi huyo
alaaaaaaaaaaa kumbeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!Na mademu wakali wote anawala yeye ulizaa
wewe unamjua rizi yupi?? niujinga kamatutaendelea kushabikia watu wanma hii,, badala ya kuhoji, wewe ukinyamaza leao watoto wako watakuuliza kesho na nilazima uwape majibu
Watanzania wajinga kweli, zamani ilikuwa kila kitu kikubwa ni cha "kizungu", sasa kwa ule ule umbumbumbu ni cha "Rais" au "mtoto wa Rais".
Hivi kwa upuuzi kama huu mnategemea mtaendelea? mimi nasema "mawee".
Badala ya kutwa kukaa kusifia vya wanaume wenzenu na nyinyi ingieni wivu wa kufanya si kusengenya, wasengenyaji wakubwa nyie.

Wacha upunguani. Hiyo TAKUKURU imepewa meno na Kikwete, walikuwa na uwezo wa kuchunguza mawaziri au mawaziri wa zamani? wakati wa Kikwete tumeona mpaka kina Mramba wakifungwa. Upo hapo ulipo.
Na wakikutikana na hatia kesi ni mahakamani. Hilo la kufikishwa tu TAKUKURU ni hatua moja nzuri sana na Serikali ya Kikwete inabidi isifiwe.