Huyu Rais mstaafu anayehujumu serikali ya awamu ya tano ni nani?

Status
Not open for further replies.
Watanzania ni mashahidi kuwa issue ya sukari iliwatoa jasho watanzania na manung'uniko yakawa mengi mtaani na watu ndipo walianza kuichukia serikali ya awamu ya tano.

Huyu ndiye alikuwa mshauri mkuu wa serikali ipige marufuku sukari kutoka nje ni Rais Mstaafu mmoja aliyekuwa na maslahi moja kwa moja kwenye mashamba yake ya Miwa.

Matokeo yake wananchi wakaumia sukari ikapanda mpaka 6000 kwa Kg.

Sasa hivi ndiye aliyeshauri kusitisha kwa uingizwaji wa makaa ya Mawe ni yeye na atasababisha cement ipande kwani mpaka sasa kuna tetesi nyingi za cement kupanda bei.

Huyu pia anayo maslahi kwa kumiliki mgodi unazalisha makaa ya mawe hivyo ameishawishi serikali ipige marufuku uingizwaji wa makaa ya mawe toka nje ya nchi kwa maslahi binafisi..

Kwanini nisiamini pia kuwa inawezekana mambo mengi mabovu yanayoendelea ndani ya serikali ya awamu ya tano yeye anausika kushauri?.

Tuendelee kuumia lakini ukweli lazima usemwe bila woga Mimi niliahidi kusema ukweli daima .

Je, ni nani huyu ? Kwanini amekuwa na mkono mrefu sana kuliko awamu ya nne ya utawala wa Kikwete.
kimantiki; Lazima awe kikwete!
kivyovyote hatokuwa mwinyi kwa kuwa maraisi wawili wamepita kabla ya huyu wa sasa na hakuingilia sukari wala makaa!
mkapa pia, alipita JK kabla ya huyu wa sasa na kwa miaka 10 iliyopita hakuzuia biashara yeyote kufanyika, JK alikuwa huru kutawala!
JK peke yake ndiye mstaafu mpya, so yeye ndiye anayeweza kuwa mstaafu mshawishi! lakini mbona haya hayaendani na jinsi alivyotawala yeye?
Mleta mada nadhani, hili BOLITI linamrejea raisi wako wa sasa, hii ni mipango yake, acheni kuwasingizia watu wengine! Awamu ya 5 waendelee kuwajibika, pia wa-take responsibility hakuna muda wa kumsaka mchawi, wachawi ni nyinyi wenyewe!
unapoongoza huwa na mazuri na mabaya, we chukua yote usianze kusingizia wengine! mbona hatusemi kutumbua pia kafundishwa na wastaafu?
 
Watanzania ni mashahidi kuwa issue ya sukari iliwatoa jasho watanzania na manung'uniko yakawa mengi mtaani na watu ndipo walianza kuichukia serikali ya awamu ya tano.

Huyu ndiye alikuwa mshauri mkuu wa serikali ipige marufuku sukari kutoka nje ni Rais Mstaafu mmoja aliyekuwa na maslahi moja kwa moja kwenye mashamba yake ya Miwa.

Matokeo yake wananchi wakaumia sukari ikapanda mpaka 6000 kwa Kg.

Sasa hivi ndiye aliyeshauri kusitisha kwa uingizwaji wa makaa ya Mawe ni yeye na atasababisha cement ipande kwani mpaka sasa kuna tetesi nyingi za cement kupanda bei.

Huyu pia anayo maslahi kwa kumiliki mgodi unazalisha makaa ya mawe hivyo ameishawishi serikali ipige marufuku uingizwaji wa makaa ya mawe toka nje ya nchi kwa maslahi binafisi..

Kwanini nisiamini pia kuwa inawezekana mambo mengi mabovu yanayoendelea ndani ya serikali ya awamu ya tano yeye anausika kushauri?.

Tuendelee kuumia lakini ukweli lazima usemwe bila woga Mimi niliahidi kusema ukweli daima .

Je, ni nani huyu ? Kwanini amekuwa na mkono mrefu sana kuliko awamu ya nne ya utawala wa Kikwete.
Mambo mengine hayana miguu wala kichwa. Sijui unapata faida gani!!!
 
Wewe naye acha uoga unaficha mambo ili sisi tukamirishe eti? Hujui kuwa ni yule aliyetuita sisi Malofa? Yaani kwa kifupi ni MKAPA...
 
J

Je, ni nani huyu ? Kwanini amekuwa na mkono mrefu sana kuliko awamu ya nne ya utawala wa Kikwete.[/QUOTE
Jamaaani mateso haya mpaka lini!achia achia!(Rose muhando huyu anakemea)kwa jina la yesu achia!
 
Watanzania ni mashahidi kuwa issue ya sukari iliwatoa jasho watanzania na manung'uniko yakawa mengi mtaani na watu ndipo walianza kuichukia serikali ya awamu ya tano.

Huyu ndiye alikuwa mshauri mkuu wa serikali ipige marufuku sukari kutoka nje ni Rais Mstaafu mmoja aliyekuwa na maslahi moja kwa moja kwenye mashamba yake ya Miwa.

Matokeo yake wananchi wakaumia sukari ikapanda mpaka 6000 kwa Kg.

Sasa hivi ndiye aliyeshauri kusitisha kwa uingizwaji wa makaa ya Mawe ni yeye na atasababisha cement ipande kwani mpaka sasa kuna tetesi nyingi za cement kupanda bei.

Huyu pia anayo maslahi kwa kumiliki mgodi unazalisha makaa ya mawe hivyo ameishawishi serikali ipige marufuku uingizwaji wa makaa ya mawe toka nje ya nchi kwa maslahi binafisi..

Kwanini nisiamini pia kuwa inawezekana mambo mengi mabovu yanayoendelea ndani ya serikali ya awamu ya tano yeye anausika kushauri?.

Tuendelee kuumia lakini ukweli lazima usemwe bila woga Mimi niliahidi kusema ukweli daima .

Je, ni nani huyu ? Kwanini amekuwa na mkono mrefu sana kuliko awamu ya nne ya utawala wa Kikwete.
Link Magufuli kulinda wizi wa Mkapa

Link2. MKAPA NA WARIOBA WAKUTANA NA RAISI MAGUFULI IKULU. HAYA NDIO WALIYOYAJADILI | Magazeti ya leo| Tanzania News |Tanzania Today

Link3. Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais Mstaafu Mkapa. | Magazeti ya leo| Tanzania News |Tanzania Today

Link4. Mkapa amponza Kikwete – Raia Mwema

Link5. PodOmatic | Podcast - KLH News - Mkapa na Yona wanyang'anywe Kiwira?
 
Jamani watanzania tumejaliwa vipaji, hiki kipaji cha uzushi nacho ni miongoni.
Hapa naona Mh. Mkapa anaundiwa zengwe Ila kwa tunaoamini kwenye "coincidence" ni kwamba hayo matukio yametokea kwa "nasibu tu"

Watanzania bana akili zetu ndio zimeishia hapo kwenye tetesi yeye kama nani ndiozenu nyie moja plus Mike jibu ni gari kah
kweli ww mzimbabwe.
 
Mmh hayo maneno ya watu walokosa Dira wapi muelekeo... Mtatunga kila uwongo ili mpate cha kusema. Ninyi ndio mnaihujumu Serikali ya Awamu hii.
 
Hahaaaa mzee wa zama za weupe nini huyo....alotutukana kuwa watanzania ni wapumbavu na malofa nani vile?....yawezekana maana ni mchumia tumbo huyo.
 
Wabaya wa mtu ni mtu mwenyewe!hahaaaaa ishu ni ukweli wa kupanda bei ya Saruji na kukosa ajira,ni mambo ya wazi wala hayahitaji nguvu......kichwa ngumu waendelee kubisha.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom