Hivi jamani unamuelewaje rafiki yako wa namna hii ambaye anakukuta na mume/mkeo na katika story lazima akupe ya kukuumiza kukuabisha mfano..hahah shemeji kweli umefanikiwa sasa hivi kumshika rafiki yangu so sasa ni si yule itabidi nami nioe niache uhuni na anamalizia na kicheko hahahah...mara unajua kwa kuwa sikuwepo siamini kabisa kama ulifunga na ndoa isije kuwa ni pilau tu imeliwa kama ileee unakumbuka tulipoenda kujitambulisha loh tungepata laana sisi hahah kweli tumetulia sasa hahahah kicheko tena..