C CHOCKSTIC JF-Expert Member Joined May 16, 2011 Posts 474 Reaction score 255 Nov 24, 2016 #241 Konsciouz said: Teh Mourihno nae alaumiwe... Na bodi nzima ya mashetani wekundu Click to expand... huwezi kumlaumu mourihno,mourihno alikuwa na mchezaji wake aliyetaka kumsajili lakini akapima upepo akaona mchezaji aliyemtaka hakubaliki na mashabiki,waliona uwezo wake ulikuwa mdogo kuliko wa maforward wa timu zingine
Konsciouz said: Teh Mourihno nae alaumiwe... Na bodi nzima ya mashetani wekundu Click to expand... huwezi kumlaumu mourihno,mourihno alikuwa na mchezaji wake aliyetaka kumsajili lakini akapima upepo akaona mchezaji aliyemtaka hakubaliki na mashabiki,waliona uwezo wake ulikuwa mdogo kuliko wa maforward wa timu zingine
Ngisibara JF-Expert Member Joined Jan 2, 2009 Posts 3,413 Reaction score 2,276 Nov 24, 2016 #242 Pogba kaelekea Chuo kikuu huria kenda kujionea vipaji vipya, ajabu kabana matumizi kwa kutumia gari kama 20 hivi
Pogba kaelekea Chuo kikuu huria kenda kujionea vipaji vipya, ajabu kabana matumizi kwa kutumia gari kama 20 hivi