wote hamja elewa hyo picha. hao nguchiro na nyoka wanafanya kikao chao bila shida, nyinyi mnasema wanawindana !
Malafyale Baba V, ulipo?Nguchiro hao, hapo wanaweza shangaana hadi jua likazama ila nyoka akijipindua tu kaisha.
Malafyale Baba V, ulipo?
Ndipo kikolo, mambo yanakwendaje mkuu wangu?[/QUOTE
Panandipanandi tukwiteteswa nkamu.