Huyu ni wakuoa kweli?

Haha
kwa hiyo unaona sawa tu kumtumia mtu kitu hata mrejesho asitoe
Sasa mkuu ukishampiga chini huyo itabidi uanze usaili tena upya kwamtu mwingine? Acha tabia kama zawatu wamagu wamwanza kupenda kuabudiwa neno asante litakusaidia nn
 
Matusi kwa njia ya diwani au sio[emoji41]
 
Kama katoka ile kanda maalum ujue huyo ni Mkurya wa kweyitu. Kure hawajui kusema "Akisanite" wao wanajuwa kuweka Obukima kwenye kisonso na chinyinyi mbere yako we ure tuu. Mengine ni siku ingine. Sasa we umempa bundle ya erufu tu unataka aseme ati akisanite. Mbona arisema; Okorere mbuya. Ukusikiya??
 
Ni vizuri ukamwambia ukweli kuwa hupendi tabia yake ya kibabe na yakutokusema asante pale unapomfanyia kitu, bora umemuelewa mapema maamuzi ni juu yako wewe mwenyewe uamue kusuka au kunyoa.
 
[emoji3]Ko kusema asante huwa inawapunguzia nn
 
Ni vizuri ukamwambia ukweli kuwa hupendi tabia yake ya kibabe na yakutokusema asante pale unapomfanyia kitu, bora umemuelewa mapema maamuzi ni juu yako wewe mwenyewe uamue kusuka au kunyoa.
Kwa kuwa nahic ni asili yake ndo maana hta nahic nkimwambia atahic namchonga tu
 
Jifanye fala kausha2 jifunze kuchukulia vitu easy kama vile anavyochukulia
Kweli uko sahihi ndo maana mpaka sasa sijawahi thubutu kumwambia juu ya hili maana naona atachukulia kwamba nahisi namsaidia sana
 
ni
njoo pm unipe namba yake nikaugegede mzigo wa kikurya
 
Mke mwema ni yule anayekifanya kichwa chako kifanye kazi ya ziada ukiona hafanyi hormone ya kiume kudinda acha kuoa atakufanya kuwa mwanamke sijui unanisikia?

Naona niongeze sauti kabisa msela baba hakikisha mkeo anakufanya ufikirie sana jinsi ya kuishi naye hata ukidanganya unakuwa na tahadhari ukiona hawezi kukufanya hivyo aise mkimbie mpaka miguu yako igonge matako yako hivi unanielewa au nipunguze sauti?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…