apolycaripto
JF-Expert Member
- Feb 11, 2011
- 644
- 225
Likitokea tatizo Silver hair akaangushiwa hiki kibandiko BAR-KWATA watatoa tamko??
Mkao wa Kusubiria Ubwabwa huu Mfukoni hakosi Ndizi na Pilipili
"Ahh kumbe yakhe yule mtu ni mwenzetu BAR KWATAR watasema tumpe kura ati"
huyu jamaa ni msanii kwa taaluma anayo shahada ya sanaa na maigizo UDSM
Likitokea tatizo Silver hair akaangushiwa hiki kibandiko BAR-KWATA watatoa tamko??
huyu si alikwenda kutubu kwa prophet tb joshua, iweje leo avae kiubar-kwata bar-kwata? Kajiharibia kwa kuchanganya sukari na chumvi na urais asahau!
Ila picha imetola kama kibonzo cha "chakubanga"
Mkao wa Kusubiria Ubwabwa huu Mfukoni hakosi Ndizi na Pilipili