storyteller
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 1,511
- 1,844
Huwa naona video za huyu jamaa mara kadhaa akihutubia(sina hakika kama ni msikitini au wapi) lakini maudhui yake huwa ni kuhamasisha ngono tu kupitia dini ya kiislamu.
Nataka kujua kama jamaa ni sheikh au ni muhamasishaji tu wa yale mambo yetu.
NB: ila km kweli mbinguni kupo hivyo..... dah, tuitafute pepo
Nataka kujua kama jamaa ni sheikh au ni muhamasishaji tu wa yale mambo yetu.
NB: ila km kweli mbinguni kupo hivyo..... dah, tuitafute pepo