Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,409
- 82,301
ngoja niitafute hiyo ya nasema nawe nimwone
Haya poa.Nasubiri feedback.
ngoja niitafute hiyo ya nasema nawe nimwone
Hivi game hii tutakua home au darajani?
mmmh niliyoyakuta huko....nimepakumbuka home ghafla!!
Yakheee sijapoa kwa kweli ila ndo kufa kijerumani na tai shingoni!!kwa hiyo ni yule aliyekuwa anapimwa nguo na fundi kushona!
du...hebu m-describe nikamcheki tena for my own risk!!
te te te te te te...nataka nimfahamu tu ili nifanye conclusion kwenye hii picha!!Wale wanachanganya tatizo hadi utulize akili na mimi leo nina mambo mengi naogopa nisijekukudanganya.
Mbona umekua interested sana? Umeshazimika nini ndugu?
Hahahaaa.
te te te te te te...nataka nimfahamu tu ili nifanye conclusion kwenye hii picha!!