Huyu ni nani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huyu ni nani?

Discussion in 'Jamii Photos' started by jchofachogenda, Jun 21, 2012.

 1. jchofachogenda

  jchofachogenda JF-Expert Member

  #1
  Jun 21, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 507
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Huyu aliekaa kushoto kwako ni nani? Kwa kupunguza ukali wa swali ni kwamba dada huyu alivuma sana hapa bongo miaka ya 2001 hadi 2005.
   

  Attached Files:

  • 055.JPG
   055.JPG
   File size:
   66.9 KB
   Views:
   143
 2. H

  Henry Philip Senior Member

  #2
  Jun 21, 2012
  Joined: Jul 29, 2008
  Messages: 114
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wadau,

  Habari zenu woote. Najua nitakuwa nimetoka nje ya mada hii lakini sio kwa nia mbaya. Nahitaji msaada wenu. Naomba mnisaidie namna ya Kuwasilisha mada zangu kama ninyi mnavyofanya ktk forum hii, muhimu sana wadau. Asanteni
   
 3. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #3
  Jun 21, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Weeeeeeeeeeeh! unamtakia nini dem wangu, nakutafuta na panga unieleze vizuri, nyambaffff!
   
 4. stineriga

  stineriga JF-Expert Member

  #4
  Jun 21, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 2,033
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  unaingia photo forum, juu wameandika new post, sehem ya kuandika ujumbe juu kuna sehemu ukiweka mouse inakwambia insert image, unaclick hapo insert image, then utachagua kama ipo kwenye desktop na folda gani, then una-open hiyo picha, moja kwa moja inatokea kwenye sehem ya msg, then una-submit,
   
 5. MduduWashawasha

  MduduWashawasha JF-Expert Member

  #5
  Jun 22, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 1,567
  Likes Received: 407
  Trophy Points: 180
  Si umtaje! inaonekana unamjua ila unaleta pozi
   
Loading...