Baba Collin
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 456
- 58
binadamu
:alien:
domosema:alien:
Songíto;3885194 said:huyo anaitwa Avram Noam Chomsky , alizaliwa tarehe 7 desemba 1928 huko america. Ni mwanaluga maarufu , mwanafalsafa, mwana historia. Na ni professor katika kitengo cha lugha na falsafa chuo kikuu cha MIT ambapo amefanya kazi zaidi ya miaka 50.
habari zaidi:
1. Noam Chomsky - Wikipedia, the free encyclopedia
2. chomsky.info : The Noam Chomsky Website