Huyu ni nani ?

Ugonjwa hatari mtu unaxeeka at a very high rate. Umri wako unaongezeka mara 4 su zaidi ya umri wa kawaida. Lets say una miaka 5 kwa sura unaweza kuonekana km mtu wa zaidi ya miaka 15 lkn mwili unakua mdogo sana. Mwili unaongezeka polepole saana yaani kinyume chake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…