Ni muda mfupi umepita tangu nirudi toka moshi kikazi kwenye hotel moja kubwa arusha mjini kwa lengo la kuifanyia marketing.
Nilikutana na dada mmoja ambae ni muhudumu wa Hotel hiyo anaitwa Jack Mush.
Tangu tuzoene na kupeana namba na email Addrss tuliongea wakt nimerudi dar na kukubaliana kuwa wapenzi.
Ila tangu anipe no hajawi kunipigia,zaid ya ku2ma sms ambazo huwa namtumia pesa ya kujiunga. Zaidi ya hapo anapenda sana kuniomba nimtumie pesa.
Wakati nae analipwa du haya mapenzi gani?
Hebu nisaidien wana jf.
Ni muda mfupi umepita tangu nirudi toka moshi kikazi kwenye hotel moja kubwa arusha mjini kwa lengo la kuifanyia marketing.
Nilikutana na dada mmoja ambae ni muhudumu wa Hotel hiyo anaitwa (Name not needed).
Tangu tuzoene na kupeana namba na email Addrss tuliongea wakt nimerudi dar na kukubaliana kuwa wapenzi.
Ila tangu anipe no hajawi kunipigia,zaid ya ku2ma sms ambazo huwa namtumia pesa ya kujiunga. Zaidi ya hapo anapenda sana kuniomba nimtumie pesa.
Wakati nae analipwa du haya mapenzi gani?
Hebu nisaidien wana jf.
We sunshine ni mkorofi sana.
Ok raund sita amezijuaje wakati hata sijamhadithia na wala hajasoma any of ma thread?