Huyu ni mwanamke wa Aina gani?

imma.one

JF-Expert Member
Sep 10, 2011
542
37
Ni muda mfupi umepita tangu nirudi toka moshi kikazi kwenye hotel moja kubwa arusha mjini kwa lengo la kuifanyia marketing.
Nilikutana na dada mmoja ambae ni muhudumu wa Hotel hiyo.
Tangu tuzoene na kupeana namba na email Addrss tuliongea wakt nimerudi dar na kukubaliana kuwa wapenzi.
Ila tangu anipe no hajawi kunipigia,zaid ya ku2ma sms ambazo huwa namtumia pesa ya kujiunga. Zaidi ya hapo anapenda sana kuniomba nimtumie pesa.
Wakati nae analipwa du haya mapenzi gani?
Hebu nisaidien wana jf.
 
Kaka...mademu wa bongo wenye uelewa ni wachache sana.....huyo atakuwa ndo wale wale wa kuchuna,,,,hawanaga malengo yoyote hapo unaweza kuta ana mchumba sema kahc una vjisent ndo anataka mgawane kimtindo....bt mchunguze then mwelezee hisia zako zaid unaweza elewa msimamo wake....
 
Mwanzoni ilikuwa kama kawaida ya wadada ya tz ukimfuata anakwambia alishakuwa na jamaa lakini mmoja na sasa ameoa,kaenda nje au karudi kijijin ili usiulize bikra iko wapi ila ukweli wanaujua.
 
lol. ndo mwanamke wa hivyo hivyo,wa vocha na hela za matumizi. kazi kwako,kusuka ama kunyoa!
 
Amehamua tu kukuchuna atambae maana ameona hizo round sita haziwezi! Loh..!

Ni muda mfupi umepita tangu nirudi toka moshi kikazi kwenye hotel moja kubwa arusha mjini kwa lengo la kuifanyia marketing.
Nilikutana na dada mmoja ambae ni muhudumu wa Hotel hiyo anaitwa Jack Mush.
Tangu tuzoene na kupeana namba na email Addrss tuliongea wakt nimerudi dar na kukubaliana kuwa wapenzi.
Ila tangu anipe no hajawi kunipigia,zaid ya ku2ma sms ambazo huwa namtumia pesa ya kujiunga. Zaidi ya hapo anapenda sana kuniomba nimtumie pesa.
Wakati nae analipwa du haya mapenzi gani?
Hebu nisaidien wana jf.
 
Ok mkuu sorry all jf members.
But for sure nahitaji kuwa nae kama mpenzi lakini kwa tabia anazoonesha mwanzani zinaniboa sana.
 
We sunshine ni mkorofi sana.
Ok raund sita amezijuaje wakati hata sijamhadithia na wala hajasoma any of ma thread?
 
Najaribu kutafuta connection ya kutaja jina lake hapa jukwaani na bado sijaipata!
 
Lakini pia alikuwa na dalili za kumudu sita coz tukiwa pale hotel nilikutana nae jim kwa mara ya kwanza.
Nikajua atamudu.
 
Mkubwa unaweza ku edit na kutoa jina la muhusika sidhani kama ni busara kutaja jina lake, watu wanaweza kukushauri bila kujuwa jina la muhusika....
nihayo tu kwa upande wangu.
 
Ni muda mfupi umepita tangu nirudi toka moshi kikazi kwenye hotel moja kubwa arusha mjini kwa lengo la kuifanyia marketing.
Nilikutana na dada mmoja ambae ni muhudumu wa Hotel hiyo anaitwa (Name not needed).
Tangu tuzoene na kupeana namba na email Addrss tuliongea wakt nimerudi dar na kukubaliana kuwa wapenzi.
Ila tangu anipe no hajawi kunipigia,zaid ya ku2ma sms ambazo huwa namtumia pesa ya kujiunga. Zaidi ya hapo anapenda sana kuniomba nimtumie pesa.
Wakati nae analipwa du haya mapenzi gani?
Hebu nisaidien wana jf.

Mkuu tunaomba ulitoe jina lake,hii sio utamu,kiushauri jina hapa haliitajiki kabsa,yani inaonekana hapa unalengo la kumchafua tu,sio vizuri bwana ebu edit hapo uweke anaitwa(Jina Kapuni)
 
Ya mkuu tunashukuru kwa kusikiliza maoni ya watu,kweli wewe ni great thinker,big up,Tukija katika swala lako,hapo inawezekana wewe umeingia kwa gia kubwa na demu akakuona pedesheee,ila kiukweli mademu wengi hivi sasa wameweka pesa mbele,kama mmepanga kuwa wapenzi na baadae kufunga ndoa sio mbaya kumsaidie mkeo mtarajiwa lakini kama ni show time bora ummpotezee uende kula wale wa Triple A
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom