Jamani me nina mke wangu halali wa ndoa kabisa tumekaa kwenye uchumba kwa takribani miaka minne tukaoana kwa baraka za wazazi wote pande mbili.tatizo ni kuwa kila tukimaliza ku-do anaomba hela kitu ambacho hakuwa nacho enzi za uchumba,nisaidieni amepatwa na nini?
Ndo mizuka yake tu ilivyo wala sio tatizo mbona wengine wakimaliza huwa wanang'ata meno?Heeeee!! Makubwa!!! Dah hiyo ndoa eti!! Ndio mana nsipoingia humu naumwa!!Anakuuzia hadi papuch uliyoilipia?duuu huyo mke wa ajabu cjawah kuona! Ngoja niendelee kushangaa....!!!!!!
KhAa!
What's happening with these men of today!!
Smh#
Labda unaipiga sana mpaka inalia kama mzingaJamani me nina mke wangu halali wa ndoa kabisa tumekaa kwenye uchumba kwa takribani miaka minne tukaoana kwa baraka za wazazi wote pande mbili.tatizo ni kuwa kila tukimaliza ku-do anaomba hela kitu ambacho hakuwa nacho enzi za uchumba,nisaidieni amepatwa na nini?
Jamani me nina mke wangu halali wa ndoa kabisa tumekaa kwenye uchumba kwa takribani miaka minne tukaoana kwa baraka za wazazi wote pande mbili.tatizo ni kuwa kila tukimaliza ku-do anaomba hela kitu ambacho hakuwa nacho enzi za uchumba,nisaidieni amepatwa na nini?
KhAa!
What's happening with these men of today!!
Smh#
Men of this generation are tired of goalkeepers... all they need is sharing responsibilities!...
Men of today Don't want responsibilities....period!
Learn from you fathers
Jamani me nina mke wangu halali wa ndoa kabisa tumekaa kwenye uchumba kwa takribani miaka minne tukaoana kwa baraka za wazazi wote pande mbili.tatizo ni kuwa kila tukimaliza ku-do anaomba hela kitu ambacho hakuwa nacho enzi za uchumba,nisaidieni amepatwa na nini?
Jamani me nina mke wangu halali wa ndoa kabisa tumekaa kwenye uchumba kwa takribani miaka minne tukaoana kwa baraka za wazazi wote pande mbili.tatizo ni kuwa kila tukimaliza ku-do anaomba hela kitu ambacho hakuwa nacho enzi za uchumba,nisaidieni amepatwa na nini?
Labda hautoi hela ya matumizi kwa hiyo anayumia mbinu za porini kama kina gea habib. Sasa mi nakushauri hakikisha unatoa matumizi kabisa ili wakati wa sakramenti ya ndoa awe na furaha zaidi. Hali ya kuomba ikiendelea ujue hiyo ndo fantassy yake. Haina tofauti na wanaopenda mpenzi avae kama dr, nesi, rubani ama mwanafunzi. Mpe ili aendelee kufurahia ndoa