Huyu ni mke wa aina gani?

Huyu ni mke wa aina gani?

Women of today demand more than their men can afford... even our mothers did their part in nurturing, they contributed and shared the little they had.... u guyz are just money mongers!



You are taking this personaly now!!

¡déjalo ya!
 
ha ha ha loh.!!!! mpe si wa kwako au fanya anza kumuomba na wewe.
 
Labda hautoi hela ya matumizi kwa hiyo anayumia mbinu za porini kama kina gea habib. Sasa mi nakushauri hakikisha unatoa matumizi kabisa ili wakati wa sakramenti ya ndoa awe na furaha zaidi. Hali ya kuomba ikiendelea ujue hiyo ndo fantassy yake. Haina tofauti na wanaopenda mpenzi avae kama dr, nesi, rubani ama mwanafunzi. Mpe ili aendelee kufurahia ndoa


wewe unayo?
 
Inabidi mkae kkao kschokua na mwenyekiti,umulize hasaaa kwanini anakuuzie wakati ndoa yenu ni takatifu???, akigoma nenda kwa mama yake aonge nae vizuri, akigoma tena basi sasa.

NB: BORA KUWA SINGLE.
 
siku nyingine akiwa na nyege akaomba mgegedo mnyime ,mwambie leo sina hela ya kulipia huduma labda akukopeshe.
 
No hay problema! Utafundishwa tu


ningún resentimiento inamaanisha=> no hard feelings

Ok, let's find the best way of conveying the message from me to you .. and vice versa!.. teeeh!
 
hapo kuna tatizo inavyoonekana wewe huwa humpagi kodi ya meza au hela nyingine za matumizi hivyo akaamua kutumia hiyo gia,wanawake wa siku hizi bwana no money no honey no love tena wewe shukuru anakupa mzigo alafu ndio anakupiga mzinga.
 
Ndoa, kuna kupatwa na kupata, hakuna kupatana. Hapo umepatwa ndugu yangu
 
Back
Top Bottom