blackberry m JF-Expert Member Joined Apr 16, 2012 Posts 563 Reaction score 415 Mar 30, 2017 Thread starter #201 roboka kafwekamo said: Huyo mdudu ni jamii ya snake aliwahitokea huko uchina enzi za king sznfzaeyeng majaabu aliyowachia jinsi alivyokuwa antingishika akiguswa na kitu mfano wa mtu anayepananga mikono wakakati wa mashambulizi ya karate badaye akatoweka . Click to expand... Ila mkuu utamu wa maelezo yako yameharibiwa na haraka. Kuna maneno mengi hayaeleweki
roboka kafwekamo said: Huyo mdudu ni jamii ya snake aliwahitokea huko uchina enzi za king sznfzaeyeng majaabu aliyowachia jinsi alivyokuwa antingishika akiguswa na kitu mfano wa mtu anayepananga mikono wakakati wa mashambulizi ya karate badaye akatoweka . Click to expand... Ila mkuu utamu wa maelezo yako yameharibiwa na haraka. Kuna maneno mengi hayaeleweki
blackberry m JF-Expert Member Joined Apr 16, 2012 Posts 563 Reaction score 415 Mar 30, 2017 Thread starter #202 Fugwe said: Kikwetu anaitwa 'inzanga' ukimgusa anajipindua, ukirudia tena anajipindua. Jamani sio mdudu wa ajabu. Wale tunaotoka pamoja wamenipata. Sasa wewe mara temeke, kiwalani, uwanja wa taifa, tegeta, mbezi utamwona wapi nenda kamsalimie babu yako utawaona Click to expand... Nakuuliza tena, una uhakika kwamba naishi mjini? Hayo maeneo yote unayoyataja wala hata siyafahamu.
Fugwe said: Kikwetu anaitwa 'inzanga' ukimgusa anajipindua, ukirudia tena anajipindua. Jamani sio mdudu wa ajabu. Wale tunaotoka pamoja wamenipata. Sasa wewe mara temeke, kiwalani, uwanja wa taifa, tegeta, mbezi utamwona wapi nenda kamsalimie babu yako utawaona Click to expand... Nakuuliza tena, una uhakika kwamba naishi mjini? Hayo maeneo yote unayoyataja wala hata siyafahamu.
ypointer4 JF-Expert Member Joined Feb 17, 2010 Posts 633 Reaction score 523 Mar 30, 2017 #203 blackberry m said: Kwa sababu ya Maradona etiii Mkuu umeua Click to expand... Mkuu hapo tunarahisisha kazi
blackberry m said: Kwa sababu ya Maradona etiii Mkuu umeua Click to expand... Mkuu hapo tunarahisisha kazi