Huyu ni mdudu gani?

blackberry m

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2012
Posts
563
Reaction score
415


Mdudu huyu wa ajabu kama mnavyomwona, ana vichwa viwili ambacho kimoja kipo mbele na kingine kipo nyuma (mkiani). Kimeonekana nchini Argentina katika mji wa Sante Fe.
 
Reactions: MC7
Kifutu au puffer edder ni nyoka wafupi ila hawapatikani nchi za Aregentina hivyo yawezekana huyu siyo kifutu ila ni mutation ya nyoka aina mwengine ila katoka wako wawili. Wangecheck sumu yake kuona ni aina gani au magamba kumgundua ni aina gani ya nyoka.
 
Ina maana walikuwa pacha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…