Jipu la Lugumi ni kansa. Itabidi ukate kiungo kizima.
fitina. lugumi tayari lipo PCCB. acha uchochezi!Naona limeshazimwa rasmi na huyu aliyejitoa kafara kupambana na mafisadi.
Maelezo yako yamejaa chuki zako zilizo moyoni dhidi ya Raisi,hujachangia wala kujibu hoja ya mtoa mada,huo mfano wako wa Mobutu hauhusiani na chochote kwenye huu Uzi,mbona hujacoment raisi alipomlalamikia bosi wa polisi aliyekuwa akiombwa mafuta ya gari,anawajibu askari watumie vyeo vyao kupata mafuta??,au hujaangalie speech yote?,ulichoambulia ni kuhusu Trafic tu?,acheni unafiki.Mnaboa sanaHizo ni senema tu kama kawaida. Lengo kuwa-keep busy watanzania ili siku zisogee. Hapa na pale tayari 2020. Rais hakumaanisha hivyo. Yeye amemaanisha trafiki waachwe wachukue 5,000/= ili kubrash viatu. Nimekumbuka enzi za Mobutu Seseseko, askari walikuwa hawalipwi mshahara kwa hoja kwamb watumie bunduki zao kujilipa. Mobutu alikuwa dikteta aliyekubuu. Hizi tunazoona ni mawingu ambayo ni dalili za mvua.
Hahaha. Na kweli.Hiyo inabidi kufa nayo tu,maana ukikata tu hicho kiungo mizizi yake itaenea kwa kasi ya ajabu.Bora tufe nayo tu
Hivi ni nani anakaa na Rais na kumpa hizi taarifa zisizo na uhakika .... mara 20, mara 40 mara 60 ......!!“Kuna watu wanasema fedha zilizotolewa ni Sh. bilioni 40, wengine Sh. bilioni 60, wengine Sh. bilioni 20, na fedha zote zilitolewa ndani ya wiki moja,” alisema Rais Magufuli.
Hivi ni nani anakaa na Rais na kumpa hizi taarifa zisizo na uhakika .... mara 20, mara 40 mara 60 ......!!
Hivi ni nani anakaa na Rais na kumpa hizi taarifa zisizo na uhakika .... mara 20, mara 40 mara 60 ......!!
alikuwa anaongea hakuna nia ya dhati kweli kutokana moyo sijawahi kuamini kauli zake wala sitawahi kuamini kauli zakeNaona limeshazimwa rasmi na huyu aliyejitoa kafara kupambana na mafisadi.