Mkuu jamaa gan huyo anayetuletea uchoko huku?Na kuna mwenzake humu, ana threads kila leo za kuhusu mapenzi!
Ngoja nimtafute, nimlete hapa!Mkuu jamaa gan huyo anayetuletea uchoko huku?
Achana nae Fanya ishu nyingine!! Kwann jinsia yake ikusumbue!! Ungekua umesoma advanced biology isingekusumbuaKipindi kinaendela TV1, ila sijaelewa huyu jamaa ni nani na je ni ke /me?View attachment 407355