Yudatade Edesi Shayo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 2,903
- 4,306
naomba ni declare kwamba mm ni shabiki lialia wa mwanamziki nguli nchini diamond platinium ..kuanzi mbagala,nenda kamwambie,moyo wangu,nataka kulewa,kitoronto,..nimekuwa die fan wake...ila thatha naona nianze kujianda psychologically ..kupotea kwa huyu bwana daaaah yanii ubunifu umekuwa zero,melody mbovu amebakia kuomba huruma za video na viuno vya iyobo.nyimbo zake mbili za leo fire na i miss you zime mchimbia kaburi ramsi..zile si level za diamond ninaye mjua ni level za marombo,asley,dogo janja,,hakika ni masikitiko makubwa kumpoteza msanii naye mpenda kuliko wote