Elisha Ray JF-Expert Member Joined Mar 19, 2012 Posts 323 Reaction score 94 Apr 24, 2012 Thread starter #21 Ringo Edmund said: hayati balali,ndo ulikuwa unamaanisha? kwani mtu akifa picha zake zinafutika? Click to expand... wanadai yu mzima hajafa yuko ulaya. kama hii pic ni ya kweli basi ndo watamuua ki-ukweli cos he's supposed 2 be dead...!!
Ringo Edmund said: hayati balali,ndo ulikuwa unamaanisha? kwani mtu akifa picha zake zinafutika? Click to expand... wanadai yu mzima hajafa yuko ulaya. kama hii pic ni ya kweli basi ndo watamuua ki-ukweli cos he's supposed 2 be dead...!!
Kang JF-Expert Member Joined Jun 24, 2008 Posts 5,692 Reaction score 2,580 Apr 24, 2012 #22 Worst Photoshop ever!
ummu kulthum JF-Expert Member Joined Feb 6, 2012 Posts 2,784 Reaction score 1,317 Apr 24, 2012 #23 amewahi kufufuka! si angesubiri kwanza dhoruba ya mjengoni ipite.
Jimmy Romio JF-Expert Member Joined Sep 29, 2011 Posts 367 Reaction score 278 Apr 24, 2012 #24 nani kawaambia balali alikufa? mnacheza na mafisadi nyie. msiba gani usiohudhuriwa na mtu yeyote kutoka tz????
nani kawaambia balali alikufa? mnacheza na mafisadi nyie. msiba gani usiohudhuriwa na mtu yeyote kutoka tz????
The Don JF-Expert Member Joined Dec 2, 2011 Posts 3,499 Reaction score 1,172 Apr 24, 2012 #25 Ndiye mwenyewe haswa kwani kuna siku nipo misele hapa state,boston nilimwona hana hayta wac
Zuia Sayayi JF-Expert Member Joined Mar 28, 2011 Posts 841 Reaction score 139 Apr 24, 2012 #26 Umemtoa wapi?
Shomari JF-Expert Member Joined Mar 8, 2008 Posts 1,112 Reaction score 242 Apr 24, 2012 #27 Ndallo said: Kama Kikwete alidhubutu kwenda kutoa pole kwenye msiba wa Kanumba iweje kwenye mazishi ya huyu mtu hakwenda? kuna utata hapa. Click to expand... Hii ni photoshop. angalia position ya kichwa na mwili. kwa wataalamu wa anatomy kama msanii et al nadhani mtakuwa mmenisoma. halafu hiyo ni sehemu ya kupumzika sio kusoma gazeti.
Ndallo said: Kama Kikwete alidhubutu kwenda kutoa pole kwenye msiba wa Kanumba iweje kwenye mazishi ya huyu mtu hakwenda? kuna utata hapa. Click to expand... Hii ni photoshop. angalia position ya kichwa na mwili. kwa wataalamu wa anatomy kama msanii et al nadhani mtakuwa mmenisoma. halafu hiyo ni sehemu ya kupumzika sio kusoma gazeti.
Mo-TOWN JF-Expert Member Joined Oct 11, 2010 Posts 1,721 Reaction score 515 Apr 24, 2012 #28 Ndallo said: Kama Kikwete alidhubutu kwenda kutoa pole kwenye msiba wa Kanumba iweje kwenye mazishi ya huyu mtu hakwenda? kuna utata hapa. Click to expand... Nami najiuliza sana swali hilo hilo...inawezekanaje vp mambo haya? JK asihudhurie mazishi wala kutoa pole msiba wa Balali? Mnisahishe wandugu.
Ndallo said: Kama Kikwete alidhubutu kwenda kutoa pole kwenye msiba wa Kanumba iweje kwenye mazishi ya huyu mtu hakwenda? kuna utata hapa. Click to expand... Nami najiuliza sana swali hilo hilo...inawezekanaje vp mambo haya? JK asihudhurie mazishi wala kutoa pole msiba wa Balali? Mnisahishe wandugu.