Ikifika usiku huwa anatoa umeme wa kutosha kuweza kuendesha vifaa vyote vya umeme wa nyumbani hivyo pia anapunguza gharama za nishati kwa mmiliki
Ikifika usiku huwa anatoa umeme wa kutosha kuweza kuendesha vifaa vyote vya umeme wa nyumbani hivyo pia anapunguza gharama za nishati kwa mmiliki
Na kuna upande ukikamua yanatoka ya moto na ya baridi kabisa yanayokaribia kuganda. Kwa kifupi ni zaidi ya water dispenserAiseee!
Au labda kuna muda anatoa maziwa fresh na muda mwingine anatoa mtindi...
acha kuwa mvivu, google "Brahman cow price"Anauzwa gharama kwasababu ya mbegu yake.
Ukiiipata hiyo mbegu ukaitunza na ukaizalisha wewe ni next level.
Japo hiyo bei siwezi kuthibitisha mpaka ipitishwe jamii check.
Kwasababu anakojoa juice, anajamba pafyum na kunya keki.
Labda, lakini kama ni kuuza, tusidanganye. Labda kilo iuzwe 20,000 ndo atalipa.Kinachouzwa hapo ni mbegu. Ukipata na jike la mbegu hiyoo utapata ng'ombe wazuri sana kwa biashara.
biashara ya kufuga ng'ombe waachie wafugaji....we endelea kufuga kengeKwasababu anakojoa juice, anajamba pafyum na kunya keki.
🤣🤣🤣Na kuna upande ukikamua yanatoka ya moto na ya baridi kabisa yanayokaribia kuganda. Kwa kifupi ni zaidi ya water dispenser
hawataki kuuza hao! maana wana sample moja tu.Mbegu nzuri ila kwa pesa hiyo! Duuh