Huyu ndo wife material

Wife material anaenda kukarangiza gongo..hii nayo nadhani iingizwe kwene katiba mpya!
 
Hawa ndio wa kukumbukwa kwenye katiba mpya! Siyo kuwapa uraisi vimeo kina Asha Rose Migiro ...eti ndio kusaidia wanawake!!
 
Labour material sio wife material. Kwani tangu lini sifa za mke ni kuwa punda? Do you guys ever read your holy books?
 
ukioa huyo huna haja ya kufanya kazi

ni kula na kukesha kilabuni
 
Halafu baskeli haina breki...... WA siku hizi hata kuvunja biskuti hawawezi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…