Huyu ndo venus williams - kweli pesa shetani

Huyu ndo venus williams - kweli pesa shetani

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,092
Reaction score
53,568
The Body Issue is back - check out all the snaps with Venus Williams, Tomas Berdych and Michael Phelps among those to pose nude for ESPN The Magazine:

10527765_10154325564840082_9199188112756899189_n.jpg
 
Huwa nampenda akiwa na vivazi vyake vya uwanjani, ila ki hivi! !! Ntamchukia soon.
 
Mi nadhani ukishakuwa huko Nchi za Magharibi akili kidogo zinakuwa na matege hasa katika maeneo yanahusu kujiheshimu.
 
Hawa watu shetani atakuja wakana kwa akili zao ndogo,
 
Mkuu Mbishi, inategemea aisee. Huyu jamaa anaasili ya Congo- Brazaville, lakini kwa sasa kaweka pembeni mila na desturi za nyumbani. Muangalie hapa chini akiwa binadamu wa kawaida.



 

Similar Discussions

Back
Top Bottom