Mbna sijaona tatzo c umetambulishwa kwa shemej yako au kakwambia ni bwana ake!!? Hapo wewe ndio mume na huyo jamaa ndo shemeji [emoji125] [emoji125]Habari wanajukwaa
Kuna dada mmoja ni rafiki yangu wa kawaida tu ila kuna siku aliwatambulisha rafiki zake kuwa mm ni shemeji yao kama kwa kutania.
Ila leo huyo dada kaja na mwanaume na kunitambulisha kuwa ndo SHEMEJI YANGU JE nifahamuje kuhusu huyu dada?
Unataka ufanye nini hasa?!Nilikuwa nataka an IDEA how can I do?
Dah..!Habari wanajukwaa
Kuna dada mmoja ni rafiki yangu wa kawaida tu ila kuna siku aliwatambulisha rafiki zake kuwa mm ni shemeji yao kama kwa kutania.
Ila leo huyo dada kaja na mwanaume na kunitambulisha kuwa ndo SHEMEJI YANGU JE nifahamuje kuhusu huyu dada?
Ushauri wangu ni huu chukua binti mzuri kushinda huyo gume gume awe mpenzi wako na ukamtambulishe kwake kuwa huyo ni wifi yake at least itakusaidia kupunguza maumivu uliyonayoHabari wanajukwaa
Kuna dada mmoja ni rafiki yangu wa kawaida tu ila kuna siku aliwatambulisha rafiki zake kuwa mm ni shemeji yao kama kwa kutania.
Ila leo huyo dada kaja na mwanaume na kunitambulisha kuwa ndo SHEMEJI YANGU JE nifahamuje kuhusu huyu dada?
Acha kutuabisha wanaume weweMi na switch off urafiki wetu uliokua hapo awali