Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,337
- 93,995
Wanaume siku izi tunazidi kubaki wachache tuuu.
Kitu kidooooooogo basi kinakupasua kichwa hahahahaah.
Kitu kidooooooogo basi kinakupasua kichwa hahahahaah.
Endelea kumfahamu hivyohivyo unavyomfahamu
Ndio ndio hata wakununua[emoji23]Tafta dada mwingine mkali kuliko yeye mwambie huyu ni wifi yako.
Nilikuwa nataka an IDEA how can I do?
Mi na switch off urafiki wetu uliokua hapo awali
umekaa kizembe we nawe ndo maana watambulishwa mwanaume mwenzioMi na switch off urafiki wetu uliokua hapo awali
Jibu kuntu [emoji115]Saivi ushakua shoga yakee....