Huyu ndo Mh. James Lembeli

lembeli kawafanyia nini wapiga kura wake?
 



  • Mr James Lembeli | Board Member
    James Lembeli was educated in Tanzania and completed his Diploma in Journalism. He is currently studying for his MA in Communication through Leicester University, UK. He started his career as a Bank Clerk with the Central Bank, then as a journalist with Kiongozi Newspaper. James was then appointed as Public Relations Officer for the Co-operative Union of Tanzania before moving to Germany where he was presenter/editor for Radio Berlin International, and then Radio Deutsche Welle. From March 1994 until 2005 James was appointed as Chief Manager for Public Relations for Tanzania National Parks. Since 2005 James has served as a Member of Parliament.
 
Wanasiasa wa CCM ni wajasiliamali wa rasilimali za Tanzania. So Lembeli is no bad is no good, ni reflection tu ya wenzake.
 
Kuku ni kuku tu, jogoo jina. Usitegemee mtu wa c.c.emu afanye jambo lililo la maana kwa wananchi wakati kauli mbiu yao ni matumbo kwanza wananchi baadae
 
Hao ndio ccm bana,na hawaoni hapo hata kidogo.
 

Ngoja nikusanye data za Lembeli na Madudu ya Nyalandu nirudi kuchangia hoja hii nzito!
 
Kagasheki ni mchafu lakini alikuwa ametusaidia sana na tembo jamaa alikuwa akilinda masilahi yetu. Mimi nilijua tu. Lembeli alikuwa na issue zake ile ni moja ya wizara Ngumu sana kuliko zote nazani. Kuna rasilimali za watanzania zinanufaisha hata wasio wazawa ni wizara ambayo inaweza kutoa umaskini wetu. Lakini nchi hii tulivyo wabinafsi yaani utazani tumerogwa na aliyeturoga amekufa angekuwepo angetuonea huruma. Tumekuwa kama abiria tuliolizia dereva aliye lewa chakali ndo atuendeshe hatuna uhakika na maisha yetu kabisaaa
 

Amemaliza Diploma na sasa anasomea Masters?
R.I.P me.......
 
Yapo mengi tuu ya nyalandu aliyoyafanya lakin kwa kuwa Mkuu wa NCHI hataki MAONI yenu nyie ongeeen halaf mkae kimya lakin hakuna mabadiliko katika hayo mnayotaka yawe
 
Hapana mkuu! wapo wasafi wachache saana.
Ni hawa wachache ndio hutoa siri za kiovu za ndani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…