Kwa muda mrefu watu wamekuwa wakimuona Mh. Lembeli kama 'Jembe' mtu anayesimamia haki na uwajibikaji. Lakini ukweli si hivyo. Lembeli ni Fisadi kama walivyo mafisadi wengine. Lembeli ni mtu anaepinda kulazimisha mambo, na kama issues zake zisipo kubaliwa basi huanzisha vita vya na hataimaye kufanya kila fitina ili ung'olewe katika nafasi yako. Bahati mbaya ana ushawishi mkubwa ndani ya kamati yake. hata wajumbe wenzake kwenye kamati hawajui kuwa anawapelekesha kucheza ngoma wasiyo ijua.
Kuthibitisha ufedhuli wa huyu Mh. Hebu oneni hii. Lembeli ni Moja ya wakurugenzi wa kampuni ya African Parks Network. Kampuni ambayo ilitaka ipewe Serengeti na Selous ili waziendeshe wao (Manage), Kwa style ile ya Net Group Solution. Yaani tanapa na idara ya wanyamapori, wakae pembeni, wao ndo wa-manage kukusanya mapato na baadae kuigawia serikali na Tanapa mgao wao kwa mujibu wwa makubaliano. Mawaziri wote waliopita hawakukubaliana na ombi hili pamoja na lobying zoote ambazo zimekuwa zikifanywa na Lembeli.
Baada ya Nyalandu kuingia madarakani, Lembeli akaonekana sasa anaweza kufanikiwa. Ndipo Nyalandu aliposhauri apewe Katavi kwanza kwa majaribo na kama mambo yakienda vizuri ataongezewa na Nyingine. Nyalandu na Lembeli wanaonekana kupatana sana kwa sababu, Pia Nyalandu anataka kampuni ya TGTS ambayo ana uhusiano nao wa karibu wapewe eneo la Mwiba linalopakana na Game Reserve ya Maswa ili walibadilishe kuwa shamba la wanyama pori la private, yaaani private wildlife farm, kinyume na sheria. Lengo la kuwaondoa wakurugenzi ma prof wa sua, ni kwa sababu walikataa kata kata kamwe hawatasaini hiyo kitu.
Kama hawa watu wawili wakiachwa kwa kipindi cha mwaga mmoja zaidi, wataivuruga wizara na kuleta matatizo makubwa kwa inchi. Ushahidi wa Lembeli kuwa moja wa madairekta wa kampuni hiyo huu hapa. Kwenye website yao wenyewe wamemuweka. Mtu wa tano kwenye hii link ya website yao; African Parks Network (Johannesburg, South Africa)