Jitu la kienyeji
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,418
- 7,929
Mjegejo.comKicheche ni mnyama jamii ya paka, mnyama huyu hujihami kwa kutoa harufu mbaya aonapo maadui, kicheche ni mnyama pekee ambaye hawezi kuishi bila kufanya mapenzi, kicheche hufanya mapenzi Mara 60 kwa saa,kicheche jike hawezi ishi bila kula shahawa za kicheche dumeView attachment 1847606
Ni majirani sana tu, sema mmoja ana tamaaMjegejo.com
Ila kicheche anafananaue na panya iwapo yeye Ni jamii ya paka?
Au siku hizi paka na panya Ni jamii moja
Hata chui hafanani na paka ila ni jamii ya pakaMjegejo.com
Ila kicheche anafananaue na panya iwapo yeye Ni jamii ya paka?
Au siku hizi paka na panya Ni jamii moja
Wanafanana Sana. Isipokuwa umbo. Naleta picha kubwa ya cat familyHata chui hafanani na paka ila ni jamii ya paka
Lete ukweli?Ni urongo
Bc paka ndo mzee baba
Mjegejo.com
Ila kicheche anafananaje na panya iwapo yeye Ni jamii ya paka?
Au siku hizi paka na panya Ni jamii moja
Chui na paka mapacha ndugu sema mmoja kapewa body mwingine kanyimwaHata chui hafanani na paka ila ni jamii ya paka
Sio kicheche huyo kijijini kwetu wapo kibao hao wanakula matunda na mbegu mbegu kama zambarao na ndizi zilizoiva hawali hata kuku hata hiyo harufu anayosema wanatoa kujilinda na adui sio hao.Mjegejo.com
Ila kicheche anafananaje na panya iwapo yeye Ni jamii ya paka?
Au siku hizi paka na panya Ni jamii moja
Hakuna kijiji kisichokuwa na hawa viumbe.hao sio kicheche umewafananisha.Kicheche ni mnyama jamii ya paka, mnyama huyu hujihami kwa kutoa harufu mbaya aonapo maadui, kicheche ni mnyama pekee ambaye hawezi kuishi bila kufanya mapenzi, kicheche hufanya mapenzi Mara 60 kwa saa,kicheche jike hawezi ishi bila kula shahawa za kicheche dumeView attachment 1847606
Hao sio vicheche kawafananisha.Mara 60 kwa saa? Inamaana Kicheche dume hali kiepe yai?
Nani kati ya dume na jike anafanya kazi ya kukamata kuku? Inachukua muda gani kuwinda na kukamata kuku?
Goli moja ni sekunde ngapi?
Asante.
Sio hao huyu kawafananisha.Kama hawa ni Squirrels [emoji883] umedanganya mwanzo mwisho
Labda sio hao
Kicheche ni mnyama jamii ya paka, mnyama huyu hujihami kwa kutoa harufu mbaya aonapo maadui, kicheche ni mnyama pekee ambaye hawezi kuishi bila kufanya mapenzi, kicheche hufanya mapenzi Mara 60 kwa saa,kicheche jike hawezi ishi bila kula shahawa za kicheche dumeView attachment 1847606