Huyu ndo Katibu Mkuu wa CCM

Mzee kinana akiwa na wajukuu zake Said (5) na Seif (6) , hawa wamefunga shule kule Uingeleza hivyo wamekuja kumsalimia babu yao kipindi hiki cha sikukuu za mwisho wa mwaka.

 
Nyuma ya Kinana ni nani? Mie nimempenda...
 
Ni mwanasiasa wa kutosha. Walikuwa wanaitwa makamisaa kule jeshini enzi ya chama kimoja.
 
Angalia picha iliyo kwenye kanga na imewekwa wapi! Siyo bahati mbaya hiyo kijana, watch out!

Wengine huwa wanaweka hiyo picha kule kwingine..kwangu haimaanishi chochote...jibuni swali langu please....
 
yeye kavaa viatu na watoto hawajavaa.ccm yajenga inchi 52 years
 
Promo ya kizamani hapo kwenye treni, i think all is needed is to keep yurself bussy eventually the media will promote you according to what you are doing, not like that eeh!
 
Mzee kinana akiwa na wajukuu zake Said (5) na Seif (6) , hawa wamefunga shule kule Uingeleza hivyo wamekuja kumsalimia babu yao.


dah, huyo dogo mwingine hana hata ndala.
 
Mzee kinana akiwa na wajukuu zake Said (5) na Seif (6) , hawa wamefunga shule kule Uingeleza hivyo wamekuja kumsalimia babu yao.




Hapa inaonesha Jinsi ccm wanavyoutumia umaskini wetu watanzania kutuhadaa.............

Je watoto wakinana wanachezea gari /toy la aina hiyo?

Je watoto wa kinana wanatembea pekupeku kiasi hicho

Je watoto wa kinana wanavaa mavazi ya hovyo kiasi hicho? nk

Nani sababu ya mateso na umaskini wa hawa watoto ? nchi tajiri na ikiwa huru miaka 52?
 
Kinana amethubutu. Wengine wanaishia kupigwa mawe huko Kigoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…