Just a person
JF-Expert Member
- May 16, 2022
- 995
- 1,254
Asee hyu anavibe bhanaDj AllyB
Asee hyu anavibe bhanaDj AllyB
Allyb ni mzuri lkn nadhani ajiweke international kias kwenye utendaji wake wakati mwingne inabid ujibrand kimataifaAsee hyu anavibe bhana
HiperTbway naye ni dj sikuhizi?
Ni kama wamiliki wa lamborghin,hatujihusishi na tv[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wengine hatuangalii tivii wala kusikiliza redio wala kwenda klabu.
Hatumjui.
Hahahhaaahah hilo jibu sasaKama anazidiwa wanamuita wa nini?[emoji56]