Wakawaka wakawaka waka....Lejendari mwenye kiota chake ndani ya Tasnia ya Bongo Fleva, Profesa Jay amerudi kivingine. Nimekuwa nikimfuatilia kwa muda mrefu kuanzia kipindi kile cha HBC, kipindi cha Chemsha Bongo, Bongo Dar es Salaam na huu ujio wake wa sasa wa PAGAMISA akiwa na Mr T Touch ameonesha dhahiri kuwa atabaki kuwa mkali kwa miaka yote.
Aisee inabudi uwe na roho mbaya sana kuona mapungufu ktk ngoma ka hiyoo ..Mr. T Touch naona anaanza kuishiwa idea za beat, kwenye hii beat ukisikiliza kwa makini kachukua vionjo vya chafu pozi ya Billnass
Plz Explain To Me The Contet Of The Song ?