MPAMBANAJI.COM
JF-Expert Member
- Mar 2, 2011
- 712
- 332
Wanajmvi, salam kwenu
Binafsi ninamkubali sana Bw TL ila embu tujiulize zaidi, ni kweli anaweza kutekeleza majukumu yake kwa ufanisi tukilinganisha na vyeo vyake vyote, tuweke ukada pemebeni na tuangalie time allocated to perform his duties and rewards all at go.
binafsi naamini the GUY is over occupied and efficiency is at risk simply because time to be allocated will negatively affect performance.....