Mzee sijawahi kukurupuka kama wewe mbumbumbu usiejielewa. Bora yangu i can think on my own kuliko wewe ambae ubongo wako haujawahi kufikiri zaidi ya kufikiriwa. Ur brain will never grow!Mazafanta!
mkuu acha kusikiliza porojo za akina mengi........tutajie hapa kaiba shs ngp??
Oh I ve been arguing with you? Im sorry, people will not notice the difference. --mbafu.
Heshima ya Mtu ipatikane kwa uadilifu na huduma kwa jamii siyo vyeti
Aaah aaah aaah... Kumbe Muhongo bado anawakatia pesa mje kulia lia hapa???Hujaziona hizo huduma. Mbona hata Mbunge wako kakubali zimepatikana jimboni kwake kupitia Muhongo!
na wewe nani anakukatia ili uje hapaAaah aaah aaah... Kumbe Muhongo bado anawakatia pesa mje kulia lia hapa???
Tutajie hao wengine wenye sifa kama zake na Ongeza na ya kwako.
Angepata ka certficate ka com skills kangemsaidia sana.
yuko vzr ila ndo basi tena
LHatokufa? mahitaji yake ya kibinadamu yanatofauti gani na wajinga wasiokua na hizo sifa.
Hana tofauti na vijana wa Mirerani wasio na elimu hata ya sekondari lakini wanamiliki mahoteli makubwa Arusha na wameajiri mamia ya watanzania na kodi inapatikana.
Mhuhongo anaacha ardhi yenye madini ya kila namna anakimbilia kuwa kibarua na mtumwa wa mashoga wa kizungu ili angalau apate mshahara .
Hazalishi ajira hata ya kuchimba kokoto zaidi ya kukimbila ulaya na kilaptop chake.
Elimu yake inamsaidia kuweka mavi tumboni na kuyatoa yeye peke yake na familia yake.
Nilitegemea aanzishe kampuni yake kule Mwanza ya kutafiti na kuchimba madini badala yake amefuata wanaume mashoga huko ulaya wamuweke awe kibarua na kibaraka wao.
Hizi dola zinatufanya tutawaliwe mpaka kiyama.
muhongo is an old story. we hv simbachawene in the house n so many distinguished n worldwide recognised geologists, the Mruma's n co. Muongo is gone lets just accept it.
elimu kubwa isiyo na faida kwa walalahoi wa bongo.
sijaona mahali kwenye CV ametumia uprofessa wake wa kwenye vimbweta vya Mlimani kwa kubuni vyanzo vipya vya umeme na kuwezesha bei ya umeme kushuka, sijaona faida yake kwa wabongo kama walivyo maprofessa wengine majina tu! hata mimi nakaribia kuwa Professa si digrii tatu tu, mi bado moja tu! Professa Marekani na Ulaya wanagundua kitu kipya cha maslahi kwa binadamu , bongo ni jina tu!hamna kitu!
dalali mkuu