Basi watanzania baraaa na ma qualifications yote hayo ana poor communication skillls kama ile? mambo ya kudesa mpaka kuwa profeseri hayo. ina maana kwenye pita pita zote hizo hakusoma psychology? KUDESA NOOOMA alikuwa anaingia na vibomu kote huko kwenye paper
Angepata ka certficate ka com skills kangemsaidia sana.
mkuu acha kusikiliza porojo za akina mengi........tutajie hapa kaiba shs ngp??
mkuu acha kusikiliza porojo za akina mengi........tutajie hapa kaiba shs ngp??
Nimetafuta neno ESCROW kwenye hiyo CV sijaliona.
Imechakachuliwa hiyo.
Huu ni utashi wangu na ni ukweli wa mambo,Mengi pia ni mwizi mwengine anaejificha kwa mgongo wa vyombo vya habari anavyovimiliki, walemavu na yatima.