Huyu ndiye Prof. Sospeter Muhongo usiyemjua

Huyu ndiye Prof. Sospeter Muhongo usiyemjua

Mzee sijawahi kukurupuka kama wewe mbumbumbu usiejielewa. Bora yangu i can think on my own kuliko wewe ambae ubongo wako haujawahi kufikiri zaidi ya kufikiriwa. Ur brain will never grow!Mazafanta!

Oh I ve been arguing with you? Im sorry, people will not notice the difference. --mbafu.
 
Kua na cv iliyojaa makorokoro mengii sio kigezo tosha chakua kiongoz...uongoz mzur unatoka moyoni...mbona dr jk cv yake ni ya kubandikiwa vyeo tu but..ni RAIs
 
he is good but if surrounded by mafisadi im afraid he cant deliver as expected.Tanzania Kila mradi watu wanataka cha juu nchi haiwezi kuendelea hata kidogo,,,tupunguze udokozi wa mali ya umma
 
mmmm hapo ndio unapoona kuwa prof, kachemsha, niliona hiyo CV aliyoamua ku i recycle mara tu baada ya kuwekwa mahali pake. Nikasema kweli mungu si mwanadamu, maneno yake yanasema mwenye kiburi anguko lake ni kubwa, sasa huyu bwana usomi wote na cv yote hiyo haoni kuwa amejinye..? anafikiri sisi tunatishwa sana na hayo makaratisi wakati hakuna integrity, limbukeni mkubwa huyu aliyetoka familia maskini akajisahau,hebu sasa atueleze tena huku alikotuacha akakukuta ni kweli watanzania wote sisi wapumbavu hatuwezi kufanya biashara kubwa isipokua yeye professor wa wizi? hiyo adhabu bado mungu ataangusha mawe ya moto kwa uzao wako, vizazi hadi vizazi kama wewe ulivyotesa watoto wake vizazi hata vizazi
 
LHatokufa? mahitaji yake ya kibinadamu yanatofauti gani na wajinga wasiokua na hizo sifa.

Hana tofauti na vijana wa Mirerani wasio na elimu hata ya sekondari lakini wanamiliki mahoteli makubwa Arusha na wameajiri mamia ya watanzania na kodi inapatikana.

Mhuhongo anaacha ardhi yenye madini ya kila namna anakimbilia kuwa kibarua na mtumwa wa mashoga wa kizungu ili angalau apate mshahara .
Hazalishi ajira hata ya kuchimba kokoto zaidi ya kukimbila ulaya na kilaptop chake.

Elimu yake inamsaidia kuweka mavi tumboni na kuyatoa yeye peke yake na familia yake.

Nilitegemea aanzishe kampuni yake kule Mwanza ya kutafiti na kuchimba madini badala yake amefuata wanaume mashoga huko ulaya wamuweke awe kibarua na kibaraka wao.
Hizi dola zinatufanya tutawaliwe mpaka kiyama.
 
Ndio maana aliowadharau wamemwangusha....

Ni mwehu tu...
 
muhongo is an old story. we hv simbachawene in the house n so many distinguished n worldwide recognised geologists, the Mruma's n co. Muongo is gone lets just accept it.
 
muhongo is an old story. we hv simbachawene in the house n so many distinguished n worldwide recognised geologists, the Mruma's n co. Muongo is gone lets just accept it.

He is Old to you and your Family.
 
elimu kubwa isiyo na faida kwa walalahoi wa bongo.
sijaona mahali kwenye CV ametumia uprofessa wake wa kwenye vimbweta vya Mlimani kwa kubuni vyanzo vipya vya umeme na kuwezesha bei ya umeme kushuka, sijaona faida yake kwa wabongo kama walivyo maprofessa wengine majina tu! hata mimi nakaribia kuwa Professa si digrii tatu tu, mi bado moja tu! Professa Marekani na Ulaya wanagundua kitu kipya cha maslahi kwa binadamu , bongo ni jina tu!hamna kitu!

Acha wivu mtoto wa kike! na wewe lete ujuzi wa taaluma yako, si na wewe unajiita msomi! Mburula in William Malecela's Voice
 
Back
Top Bottom