Serikali ya China imekubali ombi la Prof. Muhongo la kupewa scholarship 20 kila mwaka kwa miaka 5 kwa vijana wa Tanzania kwenda kuchukua Masters na PhD za Oil & Gas nchini China. Maombi yanatakiwa ubalozini kabla ya tarehe 10 April kupitia Wizara ya Nishati na Madini.
Jamani Vijana Watanzania mliosoma masomo ya Sayansi changamkieni fursa hiyo.
Jamani Vijana Watanzania mliosoma masomo ya Sayansi changamkieni fursa hiyo.