Huyu ndiye Prof. Sospeter Muhongo usiyemjua

Kama kiongozi wako mtarajiwa
Kuna mtu alisema Sifa za Prof. Muhuhongo mbona wengi wapo tu mimi ndio nikamtaka huyo aliyeandika atupe tu mmoja mwenye sifa exactly kama za Prof Muhongo japo mmoja tu. Kwani mimi namwona ni msomi na mchapakazi mzuri, straight forward ( bahati mbaya hii watanzania wengi hatujaizoea- ila kama tunataka maendeleom lazima apatikane mtu wa ktutuambia ukweli ahat kama ni mchungu.
 
Angekuwa smart enough angekataa uteuzi wa kisiasa...tazama ulivyomshusha kiheshima!
Ninakubaliana na wewe kabisa mkuu. Kabla ya kusoma bandiko lako nilikuwa nilieleze hilo. Ya Ngoswe aachiwe Ngoswe, Profesa Muhongo hakupaswa kukubali uteuzi wa kisiasa. Kwenye siasa kuna mitego, kuna ulaghai, kuna maadui. Kwenye taaluma hasa ya sayansi, hoja za kule ni utafiti na theories. Mwanasiasa hasogezi pua yake kule. Lakini kwenye siasa...baaaaah! masikini Profesa wa watu kadhalilishwa na watoto wadogo wakiwemo hata wale waliokimbia umande.

Nahisi angelilisaidia taifa vya kutosha Taifa hili kama angeteuliwa kuwa mshauri tu kwenye wizara inayohusika na taaluma yake. Pamoja na yote, "La Musa la Musa, la Kaizari la Kaizari," alifanya kazi nzuri ya usambazaji umeme vijijini.
 
Wapo wengi tu wenye wasifu kama zake! Yeye siyo wa kwanza.

Alafu mi naona hiyo cv yake ya kawaida tu,taasis za maana hazizidi tatu,je angekuwa mkurugenzi UNHABITAT kama mama TIBAIJUKA ,hajaongoza tasisis kubwa,zinazojulikana na watu wote dunian
 
Alafu mi naona hiyo cv yake ya kawaida tu,taasis za maana hazizidi tatu,je angekuwa mkurugenzi UNHABITAT kama mama TIBAIJUKA ,hajaongoza tasisis kubwa,zinazojulikana na watu wote dunian

Weeeeee hebu tuoneshe yako iliyo ya pekee tuione! Kama vipi lete ya babako tuilinganishe.
 
Alafu mi naona hiyo cv yake ya kawaida tu,taasis za maana hazizidi tatu,je angekuwa mkurugenzi UNHABITAT kama mama TIBAIJUKA ,hajaongoza tasisis kubwa,zinazojulikana na watu wote dunian

Lete na hizo za hao wengi unaowajua wewe. Kwani JK hajaziona? Mbona hajawachukua! Kubali kataa hakuna.kama Muhongo! Sijui kwann nazozana na mburula kama wewe na.wenzio. Wanaokubali wapo kimya. Majuha utawajua tu kwa kuropoka kama wewe!
 
Sawa mkuu nitasoma. Na wewe nikushauri ukasome tena alama za nyakati. Nahisi utapata ufahamu maana naona vibaya kusema juu ya ujinga wako. Maana kichwa chote kimejaa uprofesa muongo.

Mimi nilishasoma ndo maana nikayaleta hapa ili kuwasaidia mliojaa pumba kama wewe msome pia ili mtafakari kivyenu na.kuamua kivyenu bila kumtegemea Zitto na Kafulila a.k.a katumbili wawatafunie. Kichwa changu Kama kiprofesali unadhani nani atakuchambulia huu upembuzi!
 

Fyuuuuuuuuuu. Tazama ulivyo mwenda wazimu. How dare!!! Yan unamfananisha Mbowe mpiga tarumbeta na Muhongo!!Stupid Idiot. Sikushangai sana ndo maana hadi sasa hujaweza kujitambua kwamba wewe ni .nani hapa duniani. Dira yako tu mwenyewe tabu hujui kama unakwenda mbele au kurudi nyuma. Na ndo maana sio rahisi kutofutisha utendaji wa hao wawili. Nakihurumia sana kizazi chako!
 
Alafu mi naona hiyo cv yake ya kawaida tu,taasis za maana hazizidi tatu,je angekuwa mkurugenzi UNHABITAT kama mama TIBAIJUKA ,hajaongoza tasisis kubwa,zinazojulikana na watu wote dunian

Successful people build each other up. They motivate, insipire and push each other. Unsuccessful people they just HATE ,BLAME and COMPLAIN.
 

Inawezekana ulisoma lkn hukuelewa kitu , ukizingatia kuwa wewe ni mzee wa kukurupuka
Mawazo yako hayawezi kuwa ya profesa we yako ni ya kushangilia maprofesa. You can never think in analytical way now and then. Besides you are below a villager.
 

Kuna mwendawazimu kama wewe unaehangaika kujikomba kwa fisadi? Shame on you, Watanzania tuna akili timamu na tumetamka bayana HATUMTAKI. Are you deaf? And if you're so desperate kuongozwa na Muhongo mwambie aku-adopt kama mwanae wa kambo...au akuoe kabisa.

Get a bit of a life, loser!
 
Inawezekana ulisoma lkn hukuelewa kitu , ukizingatia kuwa wewe ni mzee wa kukurupuka
Mawazo yako hayawezi kuwa ya profesa we yako ni ya kushangilia maprofesa. You can never think in analytical way now and then. Besides you are below a villager.


Mzee sijawahi kukurupuka kama wewe mbumbumbu usiejielewa. Bora yangu i can think on my own kuliko wewe ambae ubongo wako haujawahi kufikiri zaidi ya kufikiriwa. Ur brain will never grow!Mazafanta!
 
Sifa zote hizi, zimefukiwa na ujeuri na kiburi chake!
All these have been burried by his self-pride and ego!
 
Jmn acheni vurugu hayo ni matokeo ya BRN mbona hata Prof. Anajua ayatendayo
 

Hasira za nini eh mamaaaa. Watakakuniua bureeee baba! Muhongo atawatoa roho walahi!!. Yani wewe ni bonge ya kilaza mazee. Duh ukoo wako una hasara kuwa mburula kama wewe asieweza kufikiri . Poor u. Tazama unajitusi mwenyewe kwa namna ulivyo mpumbavu. Msomi hatukani anajenga hoja. Eleza kwa hoja tukuelewe. Matusi.peleka kwenu ambako hamuheshimiani.
Halaf hujalazimishwa kumkubali Prof wanaomkubali hawatukani na wako mia katika mia na kumi. Hao kumi ndo wajinga na mazoba kama wewe. hutaki jitoe kundini. Stupid loser .
 

👍👍 that's the truth!
 

"Wanaomkubali..." Wanaomkubali wewe na nani? Stop dreaming, jitume. Mwanaume gani wakesha mtandaoni kumsifia mwanaume mwenzio tena fisadi? All in all, waweza kumsifia katika uhai wako wote but huyo fisadi kwa sasa ni historia. Hatokumbukwa kwa uprofesa wake bali jeuri na hatimaye kuangukia pua. Hate or like it, that solid fact is there to stay!
 
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…