Huyu ndiye Prof. Sospeter Muhongo usiyemjua

Na sifa iliyomuondosha madarakani itaje basi
 

Professional CV how coloured it is, has nothing to do with CCM Manifesto.
 
Watanzania wa leo hawahitaji hizo distinguished awards, watu wanahitaji uwajibikaji, kuondoa umaskini, elimu bora kwa watoto wao. People need food before their tables and not awards and honors. Watanzania wamepigika sana na umaskini, elimu ya ubabaishaji...kuwawekea awards za disgraced minister haziwasaidii ku-eradicate poverty au kuleta unafuu wa maisha.
 
Mwizi ni mwizi, hata uwe na degree mia nane. Hata uwe Askofu, ukiiba wewe ni mwiza bila kujali qualifications zako. Na huyu Muhongo tumeshamalizana nae. Kazi iliyobaki inafanywa na TAKUKURU ili kama ana kesi ya kujibu, aburuzwe mahakamani. Haitasaidia kuendelea kumsifia hapa kwa elimu yake na kazi zake. Nobody dispute that.
 
mkuu acha kusikiliza porojo za akina mengi........tutajie hapa kaiba shs ngp??

Huu ni utashi wangu na ni ukweli wa mambo,Mengi pia ni mwizi mwengine anaejificha kwa mgongo wa vyombo vya habari anavyovimiliki, walemavu na yatima.
 
Bado mnahangaika na profesa Mhongo, huyu si alishatupwa kwenye dustbin na profesa JK!!
 
Kujiamini kwake juu ya masuala anayosimamia = ARROGANCE?

Kwa hiyo ili kuweza kukabiliana na mikiki ya siasa za Bongo unatakiwa UWE ZERO KICHWANI!

Effects za upuuzi uliofanikisha kujiuzulu ZITAONEKANA zipo na zitajitokeza tu. Wale walosubiri tetemeko baada ya kujiuzulu kwake wafungue macho yao! Huyu Muhongo angeisaidia sana nchi hii kuondokana na UBABAISHAJI etc.
 
Wasifu huo unatakiwa kwenda na mahusiano na watu ili awe kiongozi bora!
 
Academically yupo vizuri lakini polically ni very poor!!
Nashangaa alishindwa vipi kuelewa kuwa kabla iptl hajalipwa pesa re-calculation ilitakiwa kufanyika!!!!!!!???
 
Huu ni utashi wangu na ni ukweli wa mambo,Mengi pia ni mwizi mwengine anaejificha kwa mgongo wa vyombo vya habari anavyovimiliki, walemavu na yatima.

Ukiwataja hao kuwa ni wezi hautaeleweka bila kuwataja mawakala wao. nafikiri unajua nani mwizi kuliko hao
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…