Nyaru-sare
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 5,263
- 3,628
Tee! te! teh! umikothea! mimi ni M-kipsigis!
Tee! te! teh! umikothea! mimi ni M-kipsigis!
Pamoja na mochezo ya kisiasa, Nyerer anaonekana alikuwa mtu wa kisasi.Siasa mchezo mtamu naupenda, af najua kuucheza!, mwana siasa goi goi! ukishindwa unasingizia Dikteta huyoo!, hataki kukosolewa!nk, kifupi Oscar alitaka kumpindua Nyerere, leo Julius ndiyo angekuwa analilalia km hivi!
even so kambona alikuwa mjinga kisiasa kuonyesha kuwa anaaminiwa na Jeshi hiyo tu inatosha kukupa umaarufu kuliko Boss wako, uelewa mdogo hakujua kuwa anacheza na hatari! Mzanaki haja mchelewesha! wengine km Bokasa anakuua !
Kutoroka siyo utoto wa mjini, ni umeshindwa, Mzanaki mjanja alimuona anavotoroka kampotezea ili aende tu, angetaka asinge vuka Mlandizi, tena alichomekewa maksudi kwa kuambiwa ili aende zake! (mchezo/siasa huo!)
Kambona kimwonekano angekuwa Dikteta mbaya kuliko,
Nyerere hakuwa na kisasi, ni mambo tu ya kisiasa yamekuzwa, charismatic yake ilimfanya wakaribu yake wamuogope kupita kawaida hawa ndiyo waliyafanya ili kumfurahisha, alikuwa Rais muungwana sana mweusi wa kwanza Duniani, kupinga utukufu, baadhi ya utukufu alio kataa ni km ifuatavyo mengine utaongezea;Pamoja na mochezo ya kisiasa, Nyerer anaonekana alikuwa mtu wa kisasi.
Kwanini alimsingizia Kambona kwamba ni mwizi??
Kwa sababu gani aliwaweka ndugu zake Kambona ndani kwa miaka 10?
Na ni kwanini aliwafukiza wake zao?
Kwa nini mambo haya yalifika bungeni na kujenga hoja za kisiasa na kuzalisha chuki ya kiwango cha juu kiasi kile??
NYERERE ALIKIWA NI MTU WA VINYONGO NA VISASI.
Mambo ya kisiasa huwa yanaisha kisiasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tapika tu usiogope, onyesha na matapishi humuNikisikia tu kambona natamani kutapikaaa
Nyerere alikiwa na mapungufu kama binadamu mwingine,ila nadhani kwa uzalendo aliokuwa nao yale mapungufu yote huwezi kuyaona.Binafsi likitajwa baya lake huwa naona kama unamtukana hiviNyerere hakuwa na kisasi, ni mambo tu ya kisiasa yamekuzwa, charismatic yake ilimfanya wakaribu yake wamuogope kupita kawaida hawa ndiyo waliyafanya ili kumfurahisha, alikuwa Rais muungwana sana mweusi wa kwanza Duniani, kupinga utukufu, baadhi ya utukufu alio kataa ni km ifuatavyo mengine utaongezea;
Neno zidumu fikra sahii zake! binafsi yake alikataa.
Wananchi kuchonga bararbara kwa ujio wake, na kushinda mchana kutwa wakimwabudu-alikataa.
Kupewa mali nyingi wakati wa kustaafu urais alikataa!. na kuzigawa kwa chama!
Kumtaka aendelee kuongoza nchi alikataa! alipoona sera zake hazikubaliki tena!
Kuuza mateka wa LIbya kwa mafuta alikataa.
Kulamba viatu vya Kaburu ili kuwasaliti waafrica wenzake km Mobutu alikataa! akawa mstari wa mbele kulikomboa Bara la Africa. sasa haya yoote Kambona angefanya kweli? walikimbia, na alikuwa Mwoga ni dalili angetuuza, angekomaa afie humuhumu km Samwel Doe!
Si unaona mwanaume wa Mara kakimbizwa hapo Kigamboni , anakula mapapai mabichi na kawawa anasubiria mbwai, tena alilazimishwa na walinzi alikuwa hataki, ili afe na watu wake! kupotelea ndani ya Ikulu, hii ilimtisha sana Kambona, alidhani JKN katimkia ng'ambo,.but hakukuwa na dalili hizo!
wakati kambona anajidai kumtafuta na M-land rover wake mbovu, hakujua yuko wapi alikuwa anaogopa kujitangaza kuwa Rais! Mama Maria naye alivo shujaa kuliko Kambona kakomaa na mumewe wacha tufwe wote!.
Mke wa kambona alisisitiza wakimbie! wakale Bata London,wafaidi vijicent vya ukimbizi! yule Bwana alikuwa majanga kwisha kazi!
Wadogo zake kambona .zile ni huruma, aliwasaidia, na akawatoa huru kwanza wangeuawa na wafuasi wa Julius, km Idd Amin angewapoteza na JKN alikuwa na uwezo huo kabisa, unajua yaliyompata Dora Bloch mjini Kampala?
wake zao hawakuwa na kazi wala Elimu, kifupi illegal immigrant, kiswahili hawajui, waume hawapo, huko uzaramoni wanazodolewa, hela hawana, wale mawe?
Nyerere hakuwa na kisasi, ni mambo tu ya kisiasa yamekuzwa, charismatic yake ilimfanya wakaribu yake wamuogope kupita kawaida hawa ndiyo waliyafanya ili kumfurahisha, alikuwa Rais muungwana sana mweusi wa kwanza Duniani, kupinga utukufu, baadhi ya utukufu alio kataa ni km ifuatavyo mengine utaongezea;
Neno zidumu fikra sahii zake! binafsi yake alikataa.
Wananchi kuchonga bararbara kwa ujio wake, na kushinda mchana kutwa wakimwabudu-alikataa.
Kupewa mali nyingi wakati wa kustaafu urais alikataa!. na kuzigawa kwa chama!
Kumtaka aendelee kuongoza nchi alikataa! alipoona sera zake hazikubaliki tena!
Kuuza mateka wa LIbya kwa mafuta alikataa.
Kulamba viatu vya Kaburu ili kuwasaliti waafrica wenzake km Mobutu alikataa! akawa mstari wa mbele kulikomboa Bara la Africa. sasa haya yoote Kambona angefanya kweli? walikimbia, na alikuwa Mwoga ni dalili angetuuza, angekomaa afie humuhumu km Samwel Doe!
Si unaona mwanaume wa Mara kakimbizwa hapo Kigamboni , anakula mapapai mabichi na kawawa anasubiria mbwai, tena alilazimishwa na walinzi alikuwa hataki, ili afe na watu wake! kupotelea ndani ya Ikulu, hii ilimtisha sana Kambona, alidhani JKN katimkia ng'ambo,.but hakukuwa na dalili hizo!
wakati kambona anajidai kumtafuta na M-land rover wake mbovu, hakujua yuko wapi alikuwa anaogopa kujitangaza kuwa Rais! Mama Maria naye alivo shujaa kuliko Kambona kakomaa na mumewe wacha tufwe wote!.
Mke wa kambona alisisitiza wakimbie! wakale Bata London,wafaidi vijicent vya ukimbizi! yule Bwana alikuwa majanga kwisha kazi!
Wadogo zake kambona .zile ni huruma, aliwasaidia, na akawatoa huru kwanza wangeuawa na wafuasi wa Julius, km Idd Amin angewapoteza na JKN alikuwa na uwezo huo kabisa, unajua yaliyompata Dora Bloch mjini Kampala?
wake zao hawakuwa na kazi wala Elimu, kifupi illegal immigrant, kiswahili hawajui, waume hawapo, huko uzaramoni wanazodolewa, hela hawana, wale mawe?
Nyerere alikiwa na mapungufu kama binadamu mwingine,ila nadhani kwa uzalendo aliokuwa nao yale mapungufu yote huwezi kuyaona.Binafsi likitajwa baya lake huwa naona kama unamtukana hivi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkatoliki yule alikua annawachukia waislamu wakat ndio walikua mstari wa mbele kupigania uhuru.
A,aaah! Siyo katoliki mimi. Kafir ni mtu yeyote mweusi! neno walitumia Waarabu, wakati wa utumwa! wapende upendavyo, lkn hawata kupenda katu, watakuita hivohivo!Makafiri bana.... Naona domo limekuchachamaa kumtetea Mkatoliki mwenzio. Jinsi alivokua anakandamiza dini zingine hasa uislamu. Amekufa sasa. Mfate Jehanamu!