LUCKY BANANA
JF-Expert Member
- Jun 28, 2016
- 461
- 226
hata mie singo and happy mashallah full happiness
Alitaka kusema zambi japo sio neno sahihi pia ila mimi nimemuelewa hivyoBado sielewi Zambia inahusikaje na nilichoandika.....
Nimeandika zambi bna angalia vizuri.
Sema ume-edit sio kwamba sioni vizuri.Kwani Zambia jamoni....ndio tunatamani.
Sawa kifimbo chezaSema ume-edit sio kwamba sioni vizuri.
Zambi=Dhambi ??!
Kaelewa huyo anafanya kusudi Tu.Alitaka kusema zambi japo sio neno sahihi pia ila mimi nimemuelewa hivyo
Haha acha kuzuga ole wako nikusikie unazengea vibinti..baba yako mdogo anazingua sana bora nitafute mtu mzima mwenzanguMama mkwe shikamoo,
Nikiwa mtu mzima na familia yangu,
Nipo naelekeza vijana namna ya kupendana kwa dhati!
Hajambo bamdogo Daby?
Huna mawazo yeyote unampinga mwenzio... StupidHuna hela unawaza mke..rubbish
Nampenda sana mwanao, hatujawahi kuzinguana kama wanavyozingua baba zetu hao. Wakiendelea kukusumbua mkwe uje ukae kwetu, tutakupokea na kukutunza vema kadri utakavyo. Utapata "kila kitu"Haha acha kuzuga ole wako nikusikie unazengea vibinti..baba yako mdogo anazingua sana bora nitafute mtu mzima mwenzangu
Una hakika nitapata KILA KITU?Nampenda sana mwanao, hatujawahi kuzinguana kama wanavyozingua baba zetu hao. Wakiendelea kukusumbua mkwe uje ukae kwetu, tutakupokea na kukutunza vema kadri utakavyo. Utapata "kila kitu"
Nimeshajitokeza mkeo mtarajiwa.Mbona sikuon agata
Ewaaaaa naandaa kila kitu mkwe, we ukiwa tayari nije kukuchukuaUna hakika nitapata KILA KITU?
Njoo basi unichukue leo jioniEwaaaaa naandaa kila kitu mkwe, we ukiwa tayari nije kukuchukua
Sawaa nakujaa, nakuja na mwanaoNjoo basi unichukue leo jioni
Kuna ulazima sana wa kuja nae? Mwache apumzike mwananguSawaa nakujaa, nakuja na mwanao
Sawa mkwe, atabaki anaandaa jioni njemaKuna ulazima sana wa kuja nae? Mwache apumzike mwanangu