agata edward
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 6,641
- 9,414
Nipo hapa.
Kwani Zambia jamoni....ndio tunatamani.Yaani humu kuna wanawake wanatamani kweli kuolewa ila basi tu....
Hizi lugha zenu dotcom sisi Wahenga hatuzielewi.Kwani Zambia jamoni....ndio tunatamani.
Tuanze na unawafanyeje wenzio widows?Wewe ndio ulifanya hivyo?
Siyo Zambia, labda Zimbabwe... Fata pm ukute bahati yakoKwani Zambia jamoni....ndio tunatamani.
Njoo nitakufanyia yote hayo...! Ila club hapana..Unamaneno matamu.... Wakat nasoma nlijiweka kwenye position ya 'my dear future wife' nikajihis naambiwa mie, kila la kheri nakutakia
Lugha za wasapu hizo, tuwaachie watoto wa JKHizi lugha zenu dotcom sisi Wahenga hatuzielewi.
Usikute akili nusu alafu unajipeleka..!Ngoja nikatest zali[emoji124] [emoji124]
We hutaki ndoa uchangamkie fursa
Widowmaker aka Husband Killer.....Tuanze na unawafanyeje wenzio widows?
Ama ulikusudia fundi madirisha?
Hahaha jamani nimekosea tu kuandika polSiyo Zambia, labda Zimbabwe... Fata pm ukute bahati yako
Kwani mkwe kwenye jukwaa hili unatafuta nini sikuelewi ujueSiyo Zambia, labda Zimbabwe... Fata pm ukute bahati yako
Duuu ..muhenga wewe?nimekosea tu..nilikuwa namaanisha Zambi,jamani.Hizi lugha zenu dotcom sisi Wahenga hatuzielewi.
Bado sielewi Zambia inahusikaje na nilichoandika.....Duuu ..muhenga wewe?nimekosea tu..nilikuwa namaanisha Zambi,jamani.
Nimeandika zambi bna angalia vizuri.Bado sielewi Zambia inahusikaje na nilichoandika.....
Ubarikiwe Mkuu.Nimejua hilo mkuu,
Hata mama yangu Khantwe anajua.