Huyu ndiye mkulima aliyesababisha ndege yetu ikamatwe

Wizi na dhuluma havichangamani na uzalendo
Maneno machache, lakini yenye maana kubwa sana. Huwezi kuwa mwizi, na kudhurumu, halafu ukajitangaza wewe ni 'mzalendo.' Hata kama unaiba na kudhurumu toka nje na kuleta mali za wizi kwenye taifa lako, bado utakuwa hukidhi matakwa ya kuitwa 'mzalendo.' Hii sehemu ya mwisho najua itawakwaza wengi.
 
Nimekuona hapo lumumba ukisherehekea matokeo hewa
Kibaraka huwa hana kazi zaidi ya kumtangaza beberu!
tapatalk_1574537881507.jpeg
 
Back
Top Bottom