Blessed Keinerugaba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 4,789
- 4,851
Bado sijaona kama Lara 1. She was really a thing!. Ziendelee kudumu fikra zake.
Ahahahahah.Acha uongo basi.Katika maisha yangu yote sijawah ona gar za goms zinagombaniwa pale rangi 3.labda za kawe na makumbusho.Nilipisana naye mwaka mpya mbagala rangitatu akigombania magari ya g/mboto
Bado sijaona kama Lara 1. She was really a thing!. Ziendelee kudumu fikra zake.
Na CreditAnalyst pia
Ana chura?
Ana chura?
Usitukumbushe movie la Bure mkuuDemis nae haonekani, au ndio kashapata ubatizo mpya 😂
Nitumieni ilo connection jamaa, sijui hata nilikuwa wapi aiseeUsitukumbushe movie la Bure mkuu